Sio lazima kwa mafuta na vipodozi vya gharama sana. Ingekuwa hivyo kwa status ya watanzania wengi hata wasingependeza.Ngozi lazima itunzwe, kama mwanaume ni wajibu wako kwa mwanamke wako,
NB: sizungumzii kujichubua bali kutunza ngozi iwe na muonekano mzuri
Yaani mkeo anajichubua?πNgoja nianze kuwa mkali SASA.
Yes, ukiona anakaidi tupa hayo mauchafu ili aone upo serious.Ngoja nianze kuwa mkali SASA.
Hehehehehe daa ,watu akili inawaza kujichukulia Sheria mkononiImemchukua ndugu dronedrake dakika 20 taslimu kusoma kichwa cha habari na kuelewa ni "Kujichubua" na sio "Kujichua"..
Mtu unakuta kaolewa vizuri lakini bado anajichubua mpaka ngozi hata akipata ajali mdogo tu inakuwa ngumu kutochubuka au kuchanika ngoziUsikubali mkuu, mke akijikoboa aibu ni yako. Akibaki natural anapungua nini!!
Pia hupoteza joto la asili,Wana kaubaridi fulani aiseh hukojoi kabisa!!unakuta binti kawa karatasi unaona michirizi ya kijani
wacha nikumege siri wanawake wanaojichubua wanakua na harufu kama ya chuma kilichopata moto
Wengi wanaojichubua ni hawajikubali kuwa weusi ,kama issue ni vipodozi, vipo vingi sana na vizuri ambavyo havichubui....Yani wanajichubua alafu angalia na hili jua la DSM linavyochomaKuna wengine wanajichubua kwa makusudi weusi hawaukubali...vipodozi gani hivyo vya rahisi vinavyomfanya mtu awe mweupe badala ya weusi alioumbwa nao?
Tuanze na Wema, hajajichubua yule? Ndio kusema anatumia vipodozi vya bei rahisi?
Wanakuwa kama nguruwe au kuku wa kizungu ukishamnyonyoaMtu anayejichubua huwa namchukulia kama mtu asiye na akili sawasawa. Unakuwa kama paka mweupe. Ukizeeka ndio kituko
Daa JIK hii ya kusafisha choo na masinkiMkorogo wa krimu iliyochanganywa na jiki.
Daa uko vizuri sana huo utafiti wako nimeukubaliPia hupoteza joto la asili,Wana kaubaridi fulani aiseh hukojoi kabisa!!
Halafu wale wanaoweka dawa Kali za nywele kichwani wanaongeza water Kwa kisima !my friend it's booring aiseh!!!
So sad!
Yani kijiko Cha buku mtu unakuwa haji manara ghafla?Nasikia kuna kijiko cha buku tu mtu anakua albino ndani ya siku 3
Mimi hata kulala naye tu siwezi maana ni kama nimelala na nguruweHivi Nani kawadanganya kuwa ukiwa n mweupe wa kuchovya unakuwa mzuri? Mwanaume usijaribu kuowa mwanamke anaye jichubuwa, utakuja kujuta.
πππ Hamna man just kidding!Daa uko vizuri sana huo utafiti wako nimeukubali
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kabla sijaacha ufuska nilimpata mmoja kajichubua alafu na maziwa yameshuka Yani baada ya bao la kwanza haikusimama haraka na ilipokuja kusimama ikanywea ikiwa ndani ya papuchuMimi hata kulala naye tu siwezi maana ni kama nimelala na nguruwe
Wanakuwa na kaharufu, stimu lazima ikateKabla sijaacha ufuska nilimpata mmoja kajichubua alafu na maziwa yameshuka Yani baada ya bao la kwanza haikusimama haraka na ilipokuja kusimama ikanywea ikiwa ndani ya papuchu
Yani alikuwa kajichubua aisee basi tu ule ugumu niliokuwa nao ndo ulisababisha nimle kibishi
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app