Acheni kufikiria ujinga

Manyanza

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,158
7,409
Ni sehem gani LAINI katika mwili wa BINADAM ambayo imezungukwa na NYWELE na ina UNYEVUNYEVU na ikikerwa sana hutoa MAJI. Acheni kufikiria ujinga nyinyi.....

JIBU NI ------------->>
eye-crying-tears-person-sad-thumb.jpg
 
Jicho/ Macho.

Na nafikiri ungeacha kwanza wewe kuffikiria huo ujinga kwani nina nadhani hata wewe mara ya kwanza ulipoulizwa hilo swali bila shaka ulijibu huo ujinga unaotaka kuacha kufikiria. Hongera kwa kutambua hili ndugu yangu.
 
Tupo kwenye jukwaa la utani na udaku kaka povu la nini??

Na nafikiri ungeacha kwanza wewe kuffikiria huo ujinga kwani nina nadhani hata wewe mara ya kwanza ulipoulizwa hilo swali bila shaka ulijibu huo ujinga unaotaka kuacha kufikiria. Hongera kwa kutambua hili ndugu yangu.
 
na kwanin ulidhani tutaufikiria uo ujinga unalotaka tufikirie kama ulifikiria tunafikra kama za kwako za kufikiria kuwa tungefikiria ujinga uliotaka tufikirie?
 
Huo ujinga tulioufikiria nao ni jibu sahihi,maana nao una characteristics hizo hizo za kuzungukwa na nywele ni laini sana na ikikerwa sana hasa na m.... hutoa maji.
 
Ni sehem gani LAINI katika mwili wa BINADAM ambayo imezungukwa na NYWELE na ina UNYEVUNYEVU na ikikerwa sana hutoa MAJI. Acheni kufikiria ujinga nyinyi.....

JIBU NI ------------->>

mie nimefurahi sana lakini jicho limetoa maji,halafu jicho langu wala si laini, ni gumu. yawezekana ni zaidi ya jicho
 
Jicho halitoi maji, ila linatoa machozi. Maji yanatoka kuleeeeeeee.
 
Wewe ndio mjinga unaehalalisha kuwa sehemu hio jicho, si lazima iwe jicho hata huo ujinga unaofikiria wewe ni jibu pia ila inategemea swali limeulizwa wapi, na nani, katika mada gani? Huwezi kuwa unajifunza mambo ya uzazi na ukaulizwa swali la namna hio eti useme ni Jicho! Si utakua ndio mjinga? hahahaaa haya bhana muktadha ni muhimu sana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom