namtafuta cute b.... uko wapi mdada?
Sio kama nalalamika...
Dah!! Kuna kamtindo kamezuka humu ndani baadhi ya warembo kuzibana PM zao! Nimeongea na baadhi na wanadai wanakwepa usumbufu, sasa kwani kila usumbufu lazma muujibu?
Kuna michongo mingine positive ati, mtaikosa hivi hivi...
Ishu yakukwepa usumbufu msi itatue kwa kufunga PM check out then ignore...
Mnatunyima raha wazee wakushinda PM..
Ngoja basi turuke hewani, ikifika na dakika 40.
tuanze...
Avatar zinawachanganya wengi kumbe wengine kiuhalisia wana sura kama za baba zao wakubwa.
aah!! nshampata, umechelewa kidogo!!!
Nipo hapa mkuu...
siyo zote zimefungwa...
kuna wachache wamezibania za kwao!!
My ex umefungua PM??!!
Hapana my x bado sana...
Na sintokaa niifungue
Teh teh...Nina matatizo ya mahusiano..Nahitaji ushauri wako mpendwa
Shusha uzi mpendwa......
Nitatiririka
Hahahah