Achante Achkari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Achante Achkari

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jonogomero, Mar 8, 2012.

 1. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wamakonde ni noma, katika kuwafukuza wamakonde ambao walikuwa wamezagaa town bila kazi serikali iliamua kutumia mbinu ya kuwauliza maswali ili kuwabaini coz walikuwa wamejichanganya na raia wengine. Wakakutwa wamakonde wanne wamekaa pamoja, kazi ikaanza;
  Askari: wewe kuja hapa, jina lako nani?
  Mmakonde wa kwanza; mini naitwa Achumani (akachukuliwa wakamtupa kwenye karandinga), wa pili akaulizwa akajibu " mimi naitwa ucheni (yaan hussein) nae akaingizwa kwenye ndinga. Yule wa tatu alipoulizwa jina akastuka, akawaza akilini kuwa ukitaja jina unakamatwa, so alipoulizwa wewe unaitwa nani, akajibu " chichemi jina langu chacha maana mnataka kunikamata na mimi kama achumani na ucheni" nae wakamsweka kwenya karandinga. Huyu wa nne akjisemea moyoni mi wakiniuliza nakaa kimya sijibu tuone kama watanikamata, alipoulizwa akakaa kimya, kaulizwa kama mara tatu kimyaaa. Askari wakaambiana kuwa huyu tuachane nae anaonekana sio mmakondo. Ile wamemuacha wanaondoka tu, jamaa akawashukuru kwa kusema " achante chana achkari kwa kuniacha huru" nae wakamsweka ndani. Hizi lafudhi ni noma aisee
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  dah imetulia hasa huyu wa mwisho, tatizo wamakonde akili hamna
   
 3. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Noma mzazi
   
 4. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ar u sure?
   
 5. Jonogomero

  Jonogomero Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 8, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Bambaza, we mmakonde nn mwana
   
Loading...