Wamakonde ni noma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wamakonde ni noma

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by jino kwa jino, Mar 8, 2012.

 1. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Wamakonde ni noma,
  katika kuwafukuza wamakonde ambao walikuwa wamezagaa town bila kazi serikali iliamua kutumia mbinu ya kuwauliza maswali ili kuwabaini coz walikuwa wamejichanganya na raia wengine. Wakakutwa wamakonde wanne wamekaa pamoja, kazi ikaanza;
  Askari: wewe kuja hapa, jina lako nani?
  Mmakonde wa kwanza; mini naitwa Achumani (akachukuliwa wakamtupa kwenye karandinga),

  wa pili akaulizwa akajibu " mimi naitwa ucheni (yaan hussein) nae akaingizwa kwenye ndinga.

  Yule wa tatu alipoulizwa jina akastuka, akawaza akilini kuwa ukitaja jina unakamatwa, so alipoulizwa wewe unaitwa nani, akajibu " chichemi jina langu chacha maana mnataka kunikamata na mimi kama achumani na ucheni" nae wakamsweka kwenya karandinga.

  Huyu wa nne akjisemea moyoni mi wakiniuliza nakaa kimya sijibu tuone kama watanikamata, alipoulizwa akakaa kimya, kaulizwa kama mara tatu kimyaaa. Askari wakaambiana kuwa huyu tuachane nae anaonekana sio mmakondo. Ile wamemuacha wanaondoka tu, jamaa akawashukuru kwa kusema " achante chana achkari kwa kuniacha huru" nae wakamsweka ndani. Hizi lafudhi ni noma aisee
   
 2. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #2
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,136
  Likes Received: 945
  Trophy Points: 280
  Hii nchuri sana
   
 3. m

  magoda New Member

  #3
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ya ukweli
   
 4. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #4
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  wewe chiteme wala chimmumunye
   
 5. Analogia Malenga

  Analogia Malenga JF-Expert Member

  #5
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,093
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  chafi chana hyo
   
 6. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #6
  Mar 8, 2012
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 858
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bah! We yino kwa yinoooooo!
   
 7. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #7
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ukishuka nchare na ikibaki hukohuko juu nchare wa kichwa
   
 8. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #8
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwani mmakonde chi ntu!
   
 9. M

  Mashroud Member

  #9
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yee! baba uko kwetu mob, atujui uchiku wala nchana.
   
 10. Sunshow

  Sunshow JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Baaaaaa! Hayo ya kweli au ulongo maana imeninogea bwana wewe. Hao vijana ni bora warudi ntwara.
   
 11. Mussa kiraka

  Mussa kiraka Senior Member

  #11
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 4, 2012
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Achante chana bwana wewe baaa kwan kunchekesha mpaka gego la mwicho
   
 12. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #12
  Mar 8, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mi chichemi
   
 13. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #13
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Uuuuuuh! Umenibinyabinya chana mbavu jangu kwa kucheka bana!
   
 14. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #14
  Mar 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Chi wote wanaongea hivyo, inategemea ntu na ntu
   
 15. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #15
  Mar 8, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Umenivunja mbavu ntu wangu
   
 16. J

  Johnson2012 Member

  #16
  Mar 8, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 93
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuchikachika chumuni nchumali ngwe! chilingi tano!
   
 17. G

  GHANI JF-Expert Member

  #17
  Mar 8, 2012
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huu utani mzuri, but wamakonde humu jukwaani hawapo, nadhani wanapata gahawa(kahawa) vijiweni kutwa nzima,wengi makondakta, vibaka hapa mjini,malaya wezi, itabidi tuwawekee mabango huko vijiweni....aaah wataniiii someni bwaanaa.
   
 18. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #18
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  achante chana njomba chukulubu!
   
 19. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #19
  Mar 8, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Mkuu nitake radhi aiseee, haiwezekani unitukane kiasi hiki. ndo shida ya kuwa localised mithili ya mti, yaani kila reference unayoifanya iko centred na dsm pekee. kama ni sifa ulizotaja hapo juu mbona ziko karibu maeneo yote ya nchi hii! open up your mind and think outside the box!
   
 20. egbert44

  egbert44 JF-Expert Member

  #20
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 17, 2006
  Messages: 361
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  ntunchie nchumali njia panda! hapo anatongoza!!
   
Loading...