Achana na mimi....

Achana na mimi....

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,986
Reaction score
168,503
486388_392690287472971_1541697983_n.jpg
 
Huyu alimkuta huyo mama hapo pembeni akisonga ugali, akavutiwa, akaomba kupiga picha akiwa kwenye pozi la kusonga ugali. Think...think..think..
 
Mwingine huyo
 

Attachments

  • mzungu.jpg
    mzungu.jpg
    136.2 KB · Views: 96
Ukimwona utadhani *****! Ana lake jambo huyu anajifanya kakolea na maisha ya kibongo kumbe ndio hawa wanaovuna rasilimali zetu kijanja hapo atatangaza ndoa alafu anamilikishwa maelfu ya heka za ardhi kisa mwekezaji na shemeji!
 
Kitu dona hicho. ukipatie na nguruka wa kuchoma au kauzu wa mwanza.
 
mbona naona kama vile Huyu ni mchina na wala si mtasha. Hutu atakuwa ni mchina wa karikoo. hapo kapata kitu cha uswahilini.
 
Wakati nyie mkiendelea kushangaa yeye kashapakiza twiga wenu kwenye ndege.
 
Back
Top Bottom