Acha tabia hii, Haitokusaidia hata kidogo

Acha tabia hii, Haitokusaidia hata kidogo

pipi mti

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
764
Reaction score
515
Inakera Sana unakuta mtu anakuja na uzi the wa kuuliza feedback juu ya nafasi fulani ambazo zilitangazwa siku za nyuma na yeye aliomba, wakati zilipotoka hakushare humu. Anaomba kimya kimya (kichoyo) alafu tetesi anataka apate humu kwa watu ambao aliwaficha zilipotangazwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wanaogopa hata kuchangia uzi wako wanaona watapoteza MB zao,umetia sana aibu
 
Back
Top Bottom