Acha niseme hata kama mtanichukia...

Acha niseme hata kama mtanichukia...

Naungana na mtoa mada. Wanaume wengi, hasa vijana NI WAPUMBAVU!!

Sisi vijana tulio wengi hatujatoboa, bado tupo kwenye stage ya KUJITAFUTA. Unakuta kakijana kenzangu kanahenyeka kutwa nzima kanalipwa elfu 10-15, kanaenda kuhonga elf 5+. HUO NI UPUMBAVU! Unadhani ndo huyo mwanamke atakuona unampenda au ndo utaonekana unajua kutunza na kuhudumia??? Tuache upumbavu sisi vijana

KUHONGA TUWAACHIE WALE AMBAO TAYARI WAMESHAJIJENGA, anahonga laki 1 siku hiyo ameingiza milioni 10+.

Sisi ambao bado tunajitafuta tujibane, tuwe wabahiri haswaa tutakuja kuhonga miaka ya mbele tukishajipanga

Naunga mkono hoja
 
Mgawanyo wa Tsh 5000.
Karanga 4 (2 kwake, 2 kwa mpenz wake) @ 200 = 800
U-fresh juice 2 @ 100 = 200
Jumla 1000. Mara kila wiki = 4000
Inabaki 1000. Ananunua condom pakti 1 kila wiki anatumia kamoja, wiki ya 4 mdada yuko period mtanange unaahirishwa.
Guest house = pagale au porini.
Kila la kheri mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23] Mchanganuo safi
 
1. Helmet unanunua mara moja. Ukitumia unaiosha.hakikisha unapoivua unaivua vizuri kitaalam kama alivyoonesha siku ile prof.

2. Room ya nini kulipia? Kwake au kwa mshkaji au hata sehemu gizani. Kama anataka anasa, anataka room mwenye shida ndo amtafute mganga. Alipie room.

3. Viburudisho ni hizo sehemu za siri.ndo zitawaburudisha...hapo ni kunyanduana tu kula kila mtu kwao.

4. Nauli ya nini? Aje kwa miguu au atafute. Hakuna sehemu ni mbali hapa duniani.

5. Tip? Hii mnapeana yeye anakupa tip nawe unampa ngoma draw.
[emoji1787] lol
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom