Acha niseme hata kama mtanichukia...

Acha niseme hata kama mtanichukia...

Namshangaa jamaa kuingilia maisha ya watu,komaa na yako br
 
Naungana na mtoa mada. Wanaume wengi, hasa vijana NI WAPUMBAVU!!

Sisi vijana tulio wengi hatujatoboa, bado tupo kwenye stage ya KUJITAFUTA. Unakuta kakijana kenzangu kanahenyeka kutwa nzima kanalipwa elfu 10-15, kanaenda kuhonga elf 5+. HUO NI UPUMBAVU! Unadhani ndo huyo mwanamke atakuona unampenda au ndo utaonekana unajua kutunza na kuhudumia??? Tuache upumbavu sisi vijana

KUHONGA TUWAACHIE WALE AMBAO TAYARI WAMESHAJIJENGA, anahonga laki 1 siku hiyo ameingiza milioni 10+.

Sisi ambao bado tunajitafuta tujibane, tuwe wabahiri haswaa tutakuja kuhonga miaka ya mbele tukishajipanga
Mkuu; Usishangae, miaka ya mbele ukishajipanga utagundua kwamba kumbe kuhonga ni UPUMBAVU wa kiwango cha kimataifa na kwa hivyo hutahonga kamwe.
 
wanaume tunatafuta pesa jasho sana.. ukiacha sisi wachache ambao tunakula kwa ulaini kidogo. ila wanaume wengi ni wapumbavu. wanaenda kufanya kazi ngumu sana. katika mazingira magumu sana.mwisho wa siku wanaenda kuhonga.. wanahonga pakubwa wanabakiza kiasi kidogo .

tena unaweza kuta wana watoto kabisa. ni aibu kwa wanaume wengi sana. kama unajua wewe ni mhongaji mzuri angalau weka kwenye bajeti kiasi ambcho hakitaathiri matumizi mengine. mimi binafsi nina bajeti ya tsh 5,000 kwa mwezi. hii nimeiweka katika kundi la matumizi ya anasa.
Ww bahiri sana!
siku ukifa hatukuziki hata na mia
 
Waache wahonge wa kuwasaidia majukumu tupo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom