Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,030
- 40,072
Tafuta hela elfu tano labda Malaya wa manzese na wachafu ngoma nje nje
Si ndio huyu fala anahonga buku tano zote,, mtoa mada kavunja makubaliano mmkumbushe kuwa kuhonga mwisho JERO!Kwani kwenye kikao chetu cha mwisho cha UWABATA kuna member wamekiuka makubaliano yetu?
Uyu analazimisha anasa,Anasa elfu 5000 ya kitanzania..![]()
Yaani Bia mbili TUAnasa ya 5000 hata kulewa hulewi!

Hata Kama Ni ubahili, uyu jamaa Ni too muchHuyu katukana wafanya anasa!![]()

Ulichosema ni kweli ila buku dasi mzee dah!wanaume tunatafuta pesa jasho sana.. ukiacha sisi wachache ambao tunakula kwa ulaini kidogo. ila wanaume wengi ni wapumbavu. wanaenda kufanya kazi ngumu sana. katika mazingira magumu sana.mwisho wa siku wanaenda kuhonga.. wanahonga pakubwa wanabakiza kiasi kidogo .
Tena unaweza kuta wana watoto kabisa. ni aibu kwa wanaume wengi sana. kama unajua wewe ni mhongaji mzuri angalau weka kwenye bajeti kiasi ambcho hakitaathiri matumizi mengine. mimi binafsi nina bajeti ya tsh 5,000 kwa mwezi. hii nimeiweka katika kundi la matumizi ya anasa.







Mkuu bora leo nimekuona hivi uliangukiwa na kitu gani kuto kwenye sherfu hadi ukalazwa siku tatuHata Kama Ni ubahili, uyu jamaa Ni too much![]()
Tena inatakiwa uhonge ziada. Kabla hujahonga unakumbuka wazazi wako je wako ok. Kama wako ok. Unaangalia washkaji zako wamekula?unaangalia wenye shida n.k ndo kama inabaki unahonga 3000 au 5000. Na wengi wanahonga pesa zao tunakuja zitumia sisi na mademu zao.TNaungana na mtoa mada. Wanaume wengi, hasa vijana NI WAPUMBAVU!!
Sisi vijana tulio wengi hatujatoboa, bado tupo kwenye stage ya KUJITAFUTA. Unakuta kakijana kenzangu kanahenyeka kutwa nzima kanalipwa elfu 10-15, kanaenda kuhonga elf 5+. HUO NI UPUMBAVU! Unadhani ndo huyo mwanamke atakuona unampenda au ndo utaonekana unajua kutunza na kuhudumia??? Tuache upumbavu sisi vijana
KUHONGA TUWAACHIE WALE AMBAO TAYARI WAMESHAJIJENGA, anahonga laki 1 siku hiyo ameingiza milioni 10+.
Sisi ambao bado tunajitafuta tujibane, tuwe wabahiri haswaa tutakuja kuhonga miaka ya mbele tukishajipanga
Chama cha Walume ndago. Kuhonga mwisho 5000 jumla kwa mwezi na hapo unakuwa umetoa pesa ya kununulia condom kama demu kalazimisha. Ukiivua unavua vizuri unaiosha for next use.Ndo Leo natambua kwamba nawe umo kwenye chama.
labda ni usd SI tsh.Tena amesema hiyo 5000 ni Bajet kwa mwezi!
1. Helmet unanunua mara moja. Ukitumia unaiosha.hakikisha unapoivua unaivua vizuri kitaalam kama alivyoonesha siku ile prof.Tuwekee mchanganuo wake itawasaidia na wengine
- Helmet
- Room
- Viburudisho
- Nauli
- Tip kwa mgeni