Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,180
- 22,801
Wanaume tunatafuta pesa kwa jasho sana.. ukiacha sisi wachache ambao tunakula kwa ulaini kidogo. ila wanaume wengi ni wapumbavu. wanaenda kufanya kazi ngumu sana. katika mazingira magumu sana.mwisho wa siku wanaenda kuhonga.. wanahonga pakubwa wanabakiza kiasi kidogo .
Tena unaweza kuta wana watoto kabisa. ni aibu kwa wanaume wengi sana. kama unajua wewe ni mhongaji mzuri angalau weka kwenye bajeti kiasi ambcho hakitaathiri matumizi mengine. mimi binafsi nina bajeti ya tsh 5,000 kwa mwezi. hii nimeiweka katika kundi la matumizi ya anasa. Humo ndo nitahonga kama ni voucher au pesa ya soda. Tena naangalia sababu za msingi. 5,000 kwa mwezi ukipiga kwa mwaka si 30,000? Hapo hujanunua cement au kumtumia mother huko Mbwinde au Samvula Chole?
Acheni Ujinga... Kuhonga ni mapenzi ya kizamani na ya kishamba. Mjini wajanja mnapendana mnapeana mapenzi kwa kadri mtu anavyojisikia.
Umoja wa Wanaume Bahili Tanzania.Chama cha Walume ndago. Kuhonga mwisho 5000 jumla kwa mwezi na hapo unakuwa umetoa pesa ya kununulia condom kama demu kalazimisha mtumie condom. Ukiivua unavua vizuri unaiosha for next use. Bajeti ya matumizi isidizi 5,000.