Acha Kutafuta Ajira, Acha Kuajiriwa, Hakuna Ajira,Tengeneza Ajira

Masokotz

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
3,495
5,532
Habari za wakati;

Kwanza kabisa nianze kwa kuweka wazi kwamba lengo la mjadal sio kuwakebehi watu ambao wameajiriwa/wanatafuta ajira au wanatamani kuajiriwa.Kama mjadala wangu utaelekea upande huo niwaombe radhi mapemo na zaidi niwaombe tujikite kwenye mjadala kwa wale ambao watashiriki katika mjadala huu.

Kwanza niweke wazi,Mimi nimeajiriwa,nimewahi kukaa nje ya ajira,nimewahi kutafuta ajira lakini zaidi nimeahi kutfuta/kutamani kuajiriwa so hakuna ambalo ni jipya kwangu na nichojadili hapa sio habari ya kusimuliwa ni ukweli ambao nimeuona na kuuexperience.

Ili Ujumbe wangu ufike kwa uhakika niweke mambo mawili wazi,Kwanza Kujiajri ni rahisi zaidi kuliko kutafuta ajira.Kujiajiri ni raha zaidi kuliko Kuajiiriwa na Ukifanikiwa kuajiri watu utakula raha zaidi kuliko ukifanikiwa kuajiriwa.

Kwa wale ambao mmeajiriwa mnaelewa ni nini ninamaanisha na wale ambao mmejiajiri au kuajiri watu mnaelewa zaidi ninachomaanisha.Haya sio majungu wala vijembe ni ukweli.

Sasa ili nifikishe ujumbe wangu nitatoa mifano mitatu rahisi.

Mfano wa kwanza ni wa mtu ambaye ameajiriwa na serikali na analipwa mshahara wa wastani wa Milioni 1 na kilasiku anaamka saa 11 asubhi kuhwahi kazini na anarudi nyumbani saa 12 kamili.Nimetumia mshahara wa milioni 1 kama wastani huu ni baada ya makato yote.Kwa wastani huyu mtu analipwa shilingi 35 kwa siku au shilingi 2000 kwa saa.Na anapewa Bonus jumamosi na jumapili kupumzika.Ila katika hali ya kawaida Tija yake ni chini ya 2000 kwa saa na huenda hata hayuko prodictive,hana miradi ya pembeni na anao mkop ambao unakula 2/3 ya mshahara wake pamoja na mjukumu mengine ya maisha.So wakati wote yupo tight.Ni mfano tu so kila mtu ajipime kwa nafsi yake.

Mfano wa pili ni wa mu ambaye amejiajri ambayo wastani wa pato lake kwa mwezi ni lako tano.Hata hivyo kuna miezi pato lako linafika milioni 3.Anaamka wakati anaotaka na kulala wakati anaotka kwa kutegemea aina ya biashara na namna anavyoifabya na iwapo ameajiri mtu kwa ajili ya kufanya kazi.Huyu mtu kwa siku pato lake kwa wastani ni 10,000 hadi laki 1 na anao muda wa ziada na anweza kutumia siku yoyote kwa mapumziko na hata kufanya shughuli zingine za kuongeza kipato kwa kutegemea na kipato chake na ujasiri na utayari wake.

Mfano wa tatu ni wa mtu ambaye ni JOBless.Hana ajira wala hajajiajiri na kipato chako hakielweki na mara nyingi anategemea vizinga kwa watu na dili za kuibukia.Hana kipato maalum,wala hana muda maalum wa kufanya kazi na kwa kiwango kikubwa hana ratiba maalum.

Ukiwatazama hawa watu watatu unaweza fikiri huyu wa tatu ndo kwisha habari yake ila subiri.

Huyu wa tatu anao uwezo wakutafuta fursa na uhuru wa kuchagua fursa yenye maslahi.Kwa Mfano.Wastani wa pato langu kwa mwaka wakti nikiwa na ajira lilikuwa kati ya Shilngi milioni 5 na milioni 16.Nilipokuwa nimejiajiri pato lilikuwa kati ya milioni 4 na milioni 25 na nilipokuw sina ajira maaluma wala sijajiajiri Pato langu lilikuwa nia kati y milioni 6 na Milion 30.Tija ya ufanyaji kazi ilikuwa maradufu nilipokuwa nimejiajiri na nilipokuwa sina ajira.Kulikuwa na ONgezeko latija la zaidi ya asilimia 70.

Tafsiri yake ni Nini?

Kama mtu hana ajira Maalum wala hajajiajiri anaweza kutengeneza pato kubwa zaidi kuliko aliyejiajiriau kuajiriwa.Pia anaweza kuwa na Tija maradufu na uhuru wa kufurahia anachofanya zaidi kuliko aliyejiajiri,kuajiri kuajiriwa.

Hata hivyo Ili afikie TIJA kamili atalazimika KUTENGENEZA AJIRA kwa ajili ya WENGINE.

Swala lkujiuliza ni Jenawezaji kutengeneza AJIRA za WENGINE kwa faida na Manufaa yangu na ya wengine?

Karibu Tujadili na kujifunza.
 
Habari za wakati;

Kwanza kabisa nianze kwa kuweka wazi kwamba lengo la mjadal sio kuwakebehi watu ambao wameajiriwa/wanatafuta ajira au wanatamani kuajiriwa.Kama mjadala wangu utaelekea upande huo niwaombe radhi mapemo na zaidi niwaombe

Karibu Tujadili na kujifunza.
Asomaye na afahamu.
 
Dah. Ndo ivo. Wk ijayo nakabidhiwa Coaster nishike usukani baada ya hizi kazi za kisomi kuzidi shobo...
Mtu mzima unapakwa shombo kama kitoto cha primary kisa sh mbili tatu! Nikasema, hapana. This is too much!
 
IMG_0504.jpg

Nimejiajiri.
Support yenu wadau!!
 
Wote WAKIKATAA kuajiriwa wewe unayetengeneza ajira utaajiri nini nguruwe!!??
 
Dah. Ndo ivo. Wk ijayo nakabidhiwa Coaster nishike usukani baada ya hizi kazi za kisomi kuzidi shobo...
Mtu mzima unapakwa shombo kama kitoto cha primary kisa sh mbili tatu! Nikasema, hapana. This is too much!
Hiyo nayo si ni ajira !!??
 
Back
Top Bottom