Acha kupoteza muda mapenzi huyawezi

Acha kupoteza muda mapenzi huyawezi

nyani wa mikumi(machunaji ya humu na mitandao mingine) wanaitazama hii threat kwa mbali na misonyo ya kimya kimya,umeharibu mitikasi za wachunaji humu mkuu mleta mada hii..
 
sijui alipatwa na nin, siku moja akanambia mapenz yafe tubak kama marafiki tu

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app

Hahahahaha pole mkuu, pambana na maisha kwanza vingine vitakuja automatic tu.
 
Shda inakuja ni lazima tuendelee kuwa karibu koz kuna joint business tunaifanya pamoja nae.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Shda inakuja ni lazima tuendelee kuwa karibu koz kuna joint business tunaifanya pamoja nae.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app

Basi hakuna kuingia ktk mapenzi ila anakua friend of benefit, unajilia mzigo bila kelele.
 
Mwanaume akiwa na hela ndo wakati wake muhafaka wakujua anapenda mwanamke wa vip.ewe mwanamke achana kabisa na mwanume asiye na kitu kumbuka hata simba akikosa nyama hula majani.
 
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom