Acha Kumwibia Mwajiri Wako

Acha Kumwibia Mwajiri Wako

Shetani yukoje, na ulimuona wapi?
Bandiko linahusu kuacha kuiba, hilo swali la kumchambua shetani linajibiwa huko Google tafadhali ingia Google kisha andika shetani utapata jibu lako.

Tusipotezeane muda kwa swali lililo nje na mada ilhali waweza pata jibu la swali hilo huko Google.
 
Sayansi bado inakua haijafika mwisho Kama zilivyo elimu zingine.
Sayansi haina majibu kwa Kila kitu,thus tukikosa majibu kisayansi tunaangalia elimu zingine tunapata majibu.Mengi tu sayansi Haina majibu.
Imani ni 'assumption' na huwezi kuithibitisha, ililetwa kwa lengo maalumu la kumtawala mtu na kubadilisha mienendo ya watu, ila kiukweli hakuna kitu cha namna hiyo.
Miaka ya nyuma sana katika historia ya dunia, watu walikuwa wakiuliwa sana, nikimaanisha watu walikuwa na roho za kiunyama unyama, kosa dogo unachinjwa, unachunwa ngozi huku ukiwa mzima n.k; kwa hiyo dini ililetwa katika kupinga hivyo vitu , na kuleta busara katika maisha ya mwanadamu.

Utulivu unaouona leo, ni kwa sababu ya dini, ndio imetuletea huo ustaarabu.​
 
Tatizo mwajiriwa hatokaa atosheke na mshahara na boss hatokaa aweze kuwaridhisha watumishi wake kwa mshahara. Japo sisapoti ujinga huu lakini hata wanaoibaga na kwenda kufungua biashara yeke kuliko ya wale wa kuhonga, pombe na Mambo mengine ya kishenzi kama hayo
 
Sasa we uoni Kama dini ni jambo jema sana limeleta ustaarabu,utu,na heshima bila hivyo si Dunia ingekuwa ni uwanja wa vita.
 
Bandiko linahusu kuacha kuiba, hilo swali la kumchambua shetani linajibiwa huko Google tafadhali ingia Google kisha andika shetani utapata jibu lako.

Tusipotezeane muda kwa swali lililo nje na mada ilhali waweza pata jibu la swali hilo huko Google.
Ata kumuambia muuza duka, genge, mkulima n.k akupunguzie bei; huo pia ni wizi.
 
Sasa we uoni Kama dini ni jambo jema sana limeleta ustaarabu,utu,na heshima bila hivyo si Dunia ingekuwa ni uwanja wa vita.
Ni kweli imetuletea ustaarabu; lakini kiundani kile tunachokiamini hakipo. Ndio maana hakuna tafiti zinazothibitisha kile tunachokiamini.
 
Ata kumuambia muuza duka, genge, mkulima n.k akupunguzie bei; huo pia ni wizi.
Na ndio maana makande wanayouziwa watalii huko ktk mahoteli ya kitalii yana bei ya juu kuliko makande ya walala hoi wa upareni.

Hatupunguzagi bei kwa watalii ila sisi kwa sisi hupunguziana bei kwa maelewano tu.
 
Wanaomini ni wengi kuliko wasioamini we uoni wanaoamini wapo sahihi
Kuamini sana ni kutoku ushughulisha ubongo kufanya kazi vizuri; ndio maana wanaoamini sana hawavumbui kitu chochote hapa duniani.
 
Tatizo mwajiriwa hatokaa atosheke na mshahara na boss hatokaa aweze kuwaridhisha watumishi wake kwa mshahara. Japo sisapoti ujinga huu lakini hata wanaoibaga na kwenda kufungua biashara yeke kuliko ya wale wa kuhonga, pombe na Mambo mengine ya kishenzi kama hayo
Ni kweli baadhi ya waajiri ni chanzo cha waajiriwa kuwa wezi, tuhimizane tu usawa uwepo ili kuzuia tabia ya wizi kutamalaki
 
Kuamini sana ni kutoku ushughulisha ubongo kufanya kazi vizuri; ndio maana wanaoamini sana hawavumbui kitu chochote hapa duniani.
Unachanganya mambo Sasa.
Imani Ina nafasi yake na mengine zikiwemo hizo tafiti Zina nafasi yake.
Sio kwamba wanasayansi wote hawaamini uwepo wa Mungu na ni wanasayansi na wagunduzi wakubwa tu.
 
Mvumbuzi yupi anaamini hicho unachokiamini?
 
Nyie lieni, imbeni shaurini mtakavoweza ila mi nikipata upenyo wa hela ya maana siachi hv hv! Mambo ya kusema utalipwa/ utalipwa ni uongo mteule

Unaweza jinyima vyote ukaishia kua maskini na wakati kuna wanyagu daily wanachezesha hesabu/ wanadanganya bei kwenye risiti na Wana ukwasi wa maana
So umechagua kuwa mwizi?
 
Inatakiwa mifumo inayomlazimisha mwajiriwa kutenda ipasavyo. Asipoifuata anakamatika hima.
Kwa nchi zilizoendelea waajiri hudhibitiwa na sheria pasipo kuogopwa, sasa sisi wa dunia ya tatu mambo ya sheria yapo kando mno.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom