Acha kukurupuka kuoa Dogo langu

Acha kukurupuka kuoa Dogo langu

Hawa madogo acha wapigwe tu na ushamba wao.
Eti unakuta anapiga magoti kabisa kuoa malaya shenzy type.
Michango ya harusi mi sitoi ni usanii tu na nakuja humo ndani siku ya harusi kula ubwabwa na kumuaga mke wetu hutajua hata nimeingiaje.
 
Kwenye swala la ndoa Bikra ndo best option , Zaid ya hapo Mzee oa tuu kujenga familia na ukiandae kisaikolojia !! Mwanamke ambaye hujamkuta Bikra technically na tactically huyo ni cha wote , biologically yupo confused na hawezi kuresist !! Na usije ukamwamini hata sekunde , pambana tuu kiume
Hii ni kweli, mwanamke ukikuta alishafunguliwa njia, lazima ukubaliane na lolote. Tunaishi nao na tumeona hilo
 
Mshauri anayeshauri kijana asioe sifa zake hizi hapa 1.ameoa single maza kutoka kwa single maza aliyeachika kwa mumewe 2. Hajaoa bikra 3. Hana pesa na anaishi nyumba ya kupanga. Utamshaurije kwa mtindo huu? Au kwa vile umepigwa za uso huko umeamua uwasanue vijana?
Za uso
 
Alafu wanaigiza sura ya upole Ila ukiwachek Kwa Makini utagundua ni MANYANG'AU
Hawana lolote nyau tu hao, hivi mtu mwenye mashine na nyege zake anaweza kuishi bila hiyo kitu kweli, kama vipi watuambie basi nyeto zinahusika kidogo tutaamini.
 
Vijana wanaoa hata pesa ya Kula Tu ni mziki mzito, maisha yamebadilika siku hizi.
 
Mshauri anayeshauri kijana asioe sifa zake hizi hapa 1.ameoa single maza kutoka kwa single maza aliyeachika kwa mumewe 2. Hajaoa bikra 3. Hana pesa na anaishi nyumba ya kupanga. Utamshaurije kwa mtindo huu? Au kwa vile umepigwa za uso huko umeamua uwasanue vijana?
Aisee
 
Back
Top Bottom