Acha kukurupuka kuoa Dogo langu

Acha kukurupuka kuoa Dogo langu

Japo ndoa na mapenzi havinaga muongozo ila umetoa ushauri mzuri Sana
 
Kuna dogo mdogo tu,alikuwa kaajiriwa duka la simu akaamua kuoa,baadae akaacha kaz

Akaanza mishe zake tu za kijijin kulima sana pia anaponda kokoto,kijana ni mpambanaji sana yaan huwa nafikiria kama asingeoa mapema angetoboa kirahis

Hv karibun mke wake akawa mgonjwa wa tumbo kwenda kupima inasemekana sjui ana uvimbe

Kwanza hela ya vipimo tu kuipata ilikuwa mtiti

Dogo namhurumia sana,ingawaje yeye ni mpambanaji sana
 
Anaweza kuhisi Dogo karogwa kumbe alikosea sehemu
 
Back
Top Bottom