Acha CHADEMA kiwe ni chama cha Wenye akili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Acha CHADEMA kiwe ni chama cha Wenye akili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Anyisile Obheli, Sep 24, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Sep 24, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mara nyingi CCM imetutesa toka ujana wetu acha CHADEMA waseme,
  hawaipendi CHADEMA na kuipaka matope, lakini hawaiwezi,
  CCM, imekula mgonngoni mwetu na wamejitarisha sana
  na kujilimbikizia mali, acha CHADEMA wawe wakombozi wetu sasa,
  CCM, waaibishwe na kurudishwa nyuma pamoja na wale wote
  wanaoichukia CHADEMA,
  Na wawe kama majani ya darini yakaukayo kabla hayajamea,
  na wasiokumbukwe kamwe hata wajapopotea kwenye uso wa siasa,
   
 2. JAMHURI

  JAMHURI JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 249
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ni kweli CCM ni chama ambacho naweza kusema ni kikongwe maana kina muda mrefu madarakani na ndio maana wamebweteka na kujiona kuwa hakuna chama cha kuwangoa, huwezi kuamini mtu kama Makamba anasema CCM ndio baba na ndio mama iweje leo wajiuzulu na kuwaachia wengine, kwanini wasiendelee mpaka wafe hivi mtu anaweza kutafuta mzazi kwa kumchukia aliyemzaa... wanajamii wenzangu tusaidiane..
   
 3. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #3
  Apr 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,246
  Likes Received: 3,836
  Trophy Points: 280
  Chama kishakufa na jana walikuwa wanagawana mali za marehemu kule dodoma
   
Loading...