Syndeke
hata mimi nina shida kama yako. Zile kampuni zinazouza fiscal devices za TRA, pia wanauza hizo accounting packages. Tatizo ni bei!. Mimi wameniambia wanauza kwa US $ 1,000!. Kwa vile nimenunua EFD yao basi watanifanyia US $ 800!. Kwa kikampuni changu kidogo, nimeona that is too much, bora niendelee tuu na haya ma ledger!. Ukifanikiwa, nijulishe!.