Accountanty angetosha kujumlisha matokeo sio IT?

Accountanty angetosha kujumlisha matokeo sio IT?

Dupe

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
1,668
Reaction score
813
Napata walakini kuamini hawa wataalamu wa IT walioletwa na baadhi ya wanasiasa hapa nchini walikuwa na nia njema na uchaguzi huu, shida ninayoiyona ni kuwa kujumlisha matokeo kwa kila kituo huitaji mtu IT kufanya hii kazi, kheri uniambie Mhasibu ndie anaweza fanya hii kazi maana ni kujumlisha tu ila kama anakuja mtu wa IT apa palikuwa na shida nyingine kubwa na ndio chanzo chakuona sasa wanalalamika ovyo maana mipango yao imeenda kombo yote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom