Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Ndo itawaondolea Imani kwa wananchi?

Wakati mwingine CDM inapendwa kutokana na mshikemshike inayopitia.
Chadema inapendwa huko kwenu mkoani, ila huku Dar-salam, haina kasheshe.
Najua utapinga, lakini ukweli ndio huo.
 
Kwasasa kila teke linamrusha chura mbali zaidi.
 
Chadema inapendwa huko kwenu mkoani, ila huku Dar-salam, haina kasheshe.
Najua utapinga, lakini ukweli ndio huo.
Zamani ilikuwa chama kiko mjini tu, vijijini hamna kitu.
 
Huna unalojua wewe, hivi si ulisema kama Baraza kuu lingemfukuza kina Mdee ungejiondoa JF!! sielewi mpaka leo unafanya nini humu
 
Naona wanyama wakali wameingia kwenye mabanda ya mifugo kwa mkupuo.
Fisi kaingia kwenye banda la mbuzi
simba kaingia kwenye zizi la ng'ombe
kicheche kaingia kwenye banda la kuku .Busara za mwenye nyumba ndo inaweza
kunusuru au kuangamiza mji
 
Na hapo ndipo watazidisha huruma ya wananchi....wao wafanye vyote watakavyo...ni faida.
Hiyo huruma ya wananchi itawasaidia nini hao chadema. Hao wananchi wanauwezo gani mbele ya ccm?
 
Acha upuuzi mashehe maaskofu na wachungaji wanachangisha pesa kila siku wanatoa vibali wapi wewe
 
Wewe ni wa KIUME au wa KIKE?
Sorry kama wa kiume wewe ni HASARA!
Tatizo ume keketwa ndio maana huna adabu.
Ungekua na kisimi ningekupa location uje uuone muhogo wa jang'ombe.
NB. WAMIKOANI ACHENI ULIMBUKENI, CDM SIO CHAMA PEKEE CHA UPINZANI HAPA NCHINI.
 
Ila hizi zakumtania huyu mama nakumuita kenge jamani sio powa
 

Attachments

  • Screenshot_20250601_210029_Facebook.jpg
    315.2 KB · Views: 12
  • Screenshot_20250530_144215_TikTok.jpg
    244.8 KB · Views: 10
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…