Tetesi: Account za CHADEMA kufungiwa !

Hakuna huruma ya wananchi mtakayopata mkivunja sheria ni lazima mshughulikiwe
Wananchi watawashughulikia wanao ua waTanzania wenzao kwa kulazimisha tu Samia aendelee kubaki madarakani kwa nguvu.
 
Tutakua tunachanga kwenye mikutano na hatutaweka kwenye account, alternatively, hizi pesa tutatuma hata kwenye simu ya Heche au mnyika, msitubabaishe
 
Mtu anayeizungumzia chadema kwa sahv mi namwona zaidi ya mwehu. Chadema imeshajifia, chama kimeshajitoa kushiriki uchaguzi hicho ni chama cha siasa? Hicho ni kikundi cha kigaidi. Pili wanaohangaika humu wala chadema hawaijui ni lile genge la kisukuma wako ndani ya CCM, kwa kuwa chama chao kimekataliwa kusajiliwa wamejichomeka kisirisiri kwenye kivuli cha chadema. Josephat ametumwa kitest mitambo, sasa ni juu ya kiongozi mkuu kuamua namna ya kudeal nalo
 
Tutakua tunachanga kwenye mikutano na hatutaweka kwenye account, alternatively, hizi pesa tutatuma hata kwenye simu ya Heche au mnyika, msitubabaishe
We bwege unaweza kushindana na dola? Acha utoto
 
Hii mipango inaonekana inapangwa na mtoto wa chekechea. Mipango yao inaonyesha uwezo wao wa elimu. Ndio hawa tunaoona CVs zao. Ovyoo
 
Sis wengine tinakuamini acha na watt waliojiunga Jf juzi
 
We bwege unaweza kushindana na dola? Acha utoto
Kwa hiyo dola itafuta usajili wa namba za viongozi wa chadema? Be smart, there is always a way, huu sio mwaka 47, watafunga njia zote za chama kupokea pesa lakiani bado wapo wasamaria wema watachanga na wataziwasilisha kwa viongozi hata physically
 
Swahiba, tunakuelewa sana. Ila sasa mambo ya bando la 500 yanahusikaje asee, mbona unawasema watu tusio na hatia🥹
 
Kwa hiyo dola itafuta usajili wa namba za viongozi wa chadema? Be smart, there is always a way, huu sio mwaka 47, watafunga njia zote za chama kupokea pesa lakiani bado wapo wasamaria wema watachanga na wataziwasilisha kwa viongozi hata physically
Hakuna chama kinachozuiwa kupokea fedha
Hiyo imekwisha pitwa na wakati mkuu. Kuna mambo muhimu zaidi ya hiyo ilani yanayohitaji kipaumbele cha juu zaidi.
Ilani imezinduliwa juzi unajitoa ufahamu kama Sativa
 
MWENYEZI MUNGU atatutetea milele na milele Amina
 
Wanajinasibu wanapendwa, wana wanachama wengi, kwanini wazuie wasio shiriki uchaguzi?
 
Michango ya harusi au misiba,mnaomba kibali hazina,
 
Hakuna chama kinachozuiwa kupokea fedha

Ilani imezinduliwa juzi unajitoa ufahamu kama Sativa
Kujibizana nawe ni kupoteza muda.
Jibu ndilo hilo. Wakati huu siyo tena wa ulaghai wa "Ilani".
Kuna jambo muhimu zaidi la ukombozi wa nchi yetu mbele yetu.

Hizo ILANI tutazitengeneza na kuzitekeleza baadae.
 
Jina lake lina reflect uhalisia wake
 
Makao Makuu ya 35B CAG atakuta uchafu mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…