mkuu kitengo cha sumu bd uko incharge au umenyang'anywa
Hii skendo lazima iwaache uchi maccm,endeleeni kufarijiana tu!
mkuu kitengo cha sumu bd uko incharge au umenyang'anywa
Ukishindwa hoja daima unakuja na uwongo usiomithilika! ukiambiwa uthibitishe unayoyasema unabaki domo wazi kama choo cha shimo, huna aibu ----- wewe!
Kwa sababu vyombo viwili vya serikali vinapingana. Wahisani wanaisaidia serikali ya Tanzania kwa ujumla, siyo executive peke yake.
Kwa hiyo kama executive na Legislature zinapingana, itabidi wamsikilize CAG. Ni sawa na kumpa hela mzee halafu mama akalalamika. Unamchunia mzee mpaka wazee wa busara wakupe stori nzima. That's all!!
Hiyo hela haiwezi kurudi serikalini, na hakuna mtu anayeweza kuishtaki serikali kwa hili. That's the truth!
mkuu kitengo cha sumu bd uko incharge au umenyang'anywa
Huu ni ugomvi kati ya Standard Chartered Bank na PAP. Nani alipaswa kulipwa?
Hizo hela ni za IPTL, siyo za hazina, siyo za CCM wala siyo za UKAWA. Haziwezi kurudi serikalini, au kwa wananchi kwa hiyo hazina msaada kwa mwananchi wa kawaida tena, tumeshalipa bili.
Hii issue inakuzwa kisiasa, ila haina umuhimu kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida.
Kama viongozi wa serikali walipewa fedha si washtakiwe??Kama ndivyo,ilikuwaje hizo bilioni zikasambazwa kwa watendaji wa serikali? Huo mgawo ulikuwa na maana gani? Au nao wana hisa kwenye hiyo kampuni ya PAP NA IPTL
Imbecile
Ninaposema tumelipa bill ni sisi wananchi nikimaanisha bill ya umeme tuliokwisha utumia. Mimi huku mgongo umepinda kwa kubea mabox, nitakutoaje??
Mimi siyo ***** mwenzako. Uzalendo upi ulionao wewe shoga?Wewe hata ubebi box kuna kitu kingine unafanya zaidi ya kubeba box(cameroun), i still doubt about ua thinking capacity may be u a not a tanzanian,kwa sababu statement zako siyo za kizalendo, a big question mark???????who are u?????
Mimi siyo ***** mwenzako. Uzalendo upi ulionao wewe shoga?
Usipende kujipendekeza,hoja zako hazina mashiko na huwezi kujenga hoja mbele ya wanaume kwa hiyo nenda uani ukakune Nazi.
Msalimie mamaako, sawa?Me siwezi kubishana na wewe kwa kuwa ushapewa mgawo na rugemalila ndiyo maana unatetea uchoko.
Msalimie mamaako, sawa?
Kama ana uhusiano na 'hawa jamaa zetu' basi usishangae inapokuja kwenye masuala haya utaalam wake unatiwa mfukoni na kuanza ushabiki (nimesema kama maana simfahamu)
Yaani magamba ni shida..umeleta mada ku fire UKAWA.then kamanda ben saa8 amekupa za uso aka ku back fire then sasa unataka kututoa kwenye mada. Kwwli magamba ni shida
mkuu kutumika kubaya sana halafu watu wakishamaliza wanakudharauWameshindwa kumudu game mkuu!
Huu ni ugomvi kati ya Standard Chartered Bank na PAP. Nani alipaswa kulipwa?
Hizo hela ni za IPTL, siyo za hazina, siyo za CCM wala siyo za UKAWA. Haziwezi kurudi serikalini, au kwa wananchi kwa hiyo hazina msaada kwa mwananchi wa kawaida tena, tumeshalipa bili.
Hii issue inakuzwa kisiasa, ila haina umuhimu kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida.
lets say Ukawa wamo, je hiyo ni furaha kwako?ama nyani anacheka kundule hajioni.