Utotole
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,608
- 4,266
Kwa sababu vyombo viwili vya serikali vinapingana. Wahisani wanaisaidia serikali ya Tanzania kwa ujumla, siyo executive peke yake.
Kwa hiyo kama executive na Legislature zinapingana, itabidi wamsikilize CAG. Ni sawa na kumpa hela mzee halafu mama akalalamika. Unamchunia mzee mpaka wazee wa busara wakupe stori nzima. That's all!!
Hiyo hela haiwezi kurudi serikalini, na hakuna mtu anayeweza kuishtaki serikali kwa hili. That's the truth!
Hebu nikumbushe kama statement kama unazotoa hazikusikika wakati wa kashfa ya EPA? Tuliambiwa hivyo hivyo kuwa hela hizo si za umma, wala si za serikali. Baadaye tukaambiwa kwamba wameambiwa zirudishwe na hadi zikaanza kupangiwa kwa kupelekwa, mara sijui Kilimo kwanza...(of course kama zilipelekwa huko ni suala ambalo sina hakika nalo) lakini tulishaambiwa si za watanzania. Hata leo sitashangaa. By the way, tufanye si za umma. We unadhani kwa nini zimeleta tension namna hii? Kama aliyepewa au aliyejipa ndiye mwenye nazo, kuna sababu gani ya mlolongo wote huu? Mi nahisi kuna zaiidi ya sentensi rahisi tu kuwa si za umma. Mie nangojea nione (au nisikie) mwisho wake.