Account ya ESCROW kuisambatisha UKAWA wiki ijayo

Account ya ESCROW kuisambatisha UKAWA wiki ijayo

assadsyria3

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
6,909
Reaction score
4,057
Kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa UKAWA wamepiga pesa za ESCROW. Hakika ESCROW italeta tetemeko, sii CCM pekee bali itaimeza pia UKAWA.

Stay tuned CAG REPORT NEXT WEEK.
 
Nasikia PM, AG, na mawaziri kibaaaaao ndani lol raha kweli
 
kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa ukawa wamepiga pesa za escrow. hakika escrow italeta tetemeko si ccm pekee bali itaimeza pia ukawa
stay tuned CAG REPORT NEXT WEEK
Huu ni ugomvi kati ya Standard Chartered Bank na PAP. Nani alipaswa kulipwa?
Hizo hela ni za IPTL, siyo za hazina, siyo za CCM wala siyo za UKAWA. Haziwezi kurudi serikalini, au kwa wananchi kwa hiyo hazina msaada kwa mwananchi wa kawaida tena, tumeshalipa bili.

Hii issue inakuzwa kisiasa, ila haina umuhimu kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida.
 
kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa ukawa wamepiga pesa za escrow. Hakika escrow italeta tetemeko si ccm pekee bali itaimeza pia ukawa
stay tuned cag report next week
unaweza kumudanganya mtu mjinga
wizi wa escrow unawahusu mawaziri na watendaji wa chama kilichoko madarakani wakishirikiana na singa singa na watu wa karibu na familia ya kikwete

ingekuwa ukawa wamo wasingechelewesha
ndo maana jk amekimbilia upasuaji usa ili kuepukalawama
 
Mmeacha kusema CHADEMA kusambaratika. Mi sijaona mwenye shamba apande Bangi shambani lakini kesi ajibu mpita njia !!!? Hii kitu imewakamata vibaya ingawaje we mzee wa Bunda sijakusikia sijui ndo unafurahia mpinzani wako mzee wa nyuki kubana vibaya kwenye kona kwa hiyo unaona nafasi ya kugombea urais iko peupe !!?
 
huu ni ugomvi kati ya standard chartered bank na pap. Nani alipaswa kulipwa?
Hizo hela ni za iptl, siyo za hazina, siyo za ccm wala siyo za ukawa. Haziwezi kurudi serikalini, au kwa wananchi kwa hiyo hazina msaada kwa mwananchi wa kawaida tena, tumeshalipa bili.

Hii issue inakuzwa kisiasa, ila haina umuhimu kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida.
kama inakuuzwaa kwa nini wahisani wamegoma???
 
  • Thanks
Reactions: BAK
SUMU Kama iyo aliyokupa hapo chini eee?? au wewe ndio ulikuwa nyoka wake? maana inaonekana unamjua sana Ben ila Ben anajitambua usipoteze muda wako

mkuu kitengo cha sumu bd uko incharge au umenyang'anywa

quote_icon.png
By Ben Saanane

Endeleeni kupotosha na kufanya Diversion tu...!

Hatutatoka nje ya mstari!
 
kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa ukawa wamepiga pesa za escrow. hakika escrow italeta tetemeko si ccm pekee bali itaimeza pia ukawa
stay tuned CAG REPORT NEXT WEEK
Naona umeandika kinyume anguko la ccm limeshakaribia hizi pesa account za escrow ndo jeneza la kuizikia ccm
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa ukawa wamepiga pesa za escrow. hakika escrow italeta tetemeko si ccm pekee bali itaimeza pia ukawa
stay tuned CAG REPORT NEXT WEEK

Kwani Zitto Zubeir Kabwe na kamati yake ya PAC ni UKAWA
 
kama inakuuzwaa kwa nini wahisani wamegoma???
Kwa sababu vyombo viwili vya serikali vinapingana. Wahisani wanaisaidia serikali ya Tanzania kwa ujumla, siyo executive peke yake.
Kwa hiyo kama executive na Legislature zinapingana, itabidi wamsikilize CAG. Ni sawa na kumpa hela mzee halafu mama akalalamika. Unamchunia mzee mpaka wazee wa busara wakupe stori nzima. That's all!!

Hiyo hela haiwezi kurudi serikalini, na hakuna mtu anayeweza kuishtaki serikali kwa hili. That's the truth!
 
Huu ni ugomvi kati ya Standard Chartered Bank na PAP. Nani alipaswa kulipwa?
Hizo hela ni za IPTL, siyo za hazina, siyo za CCM wala siyo za UKAWA. Haziwezi kurudi serikalini, au kwa wananchi kwa hiyo hazina msaada kwa mwananchi wa kawaida tena, tumeshalipa bili.

Hii issue inakuzwa kisiasa, ila haina umuhimu kiuchumi kwa mwananchi wa kawaida.
hivi unakielewa unachokisema? Kwa nini wafadhili wasitishe 1.2 trilion za misaada?
 
kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa ukawa wamepiga pesa za escrow. hakika escrow italeta tetemeko si ccm pekee bali itaimeza pia ukawa
stay tuned CAG REPORT NEXT WEEK

Unajificha kwenye jani la mgomba usoni huku ta_ko li tupu...na unadhani umejistiri kumbe u uchi.
 
Haa haa kwa hiyo Ukawa ndo wanaongoza serikali? Huo uzushi wapelekee lumumba!
 
Hata Nyepesi naye alidaka mshiko wa ESCROW ila yeye alikuwa sungura kidogo,hakulipwa kupitia benki,alilipwa cash mkononi kwahiyo ushahidi wa kumtia hatiani hakuna.
 
kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa ukawa wamepiga pesa za escrow. hakika escrow italeta tetemeko si ccm pekee bali itaimeza pia ukawa
stay tuned CAG REPORT NEXT WEEK

Hata Nyepesi naye alidaka mshiko wa ESCROW ila yeye alikuwa sungura kidogo,hakulipwa kupitia benki,alilipwa cash mkononi kwahiyo ushahidi wa kumtia hatiani hakuna.
 
kuna tetesi na inasadikika ni kweli kuna viongozi waandamizi wa ukawa wamepiga pesa za escrow. hakika escrow italeta tetemeko si ccm pekee bali itaimeza pia ukawa
stay tuned CAG REPORT NEXT WEEK
kama itakuwa kweli huku lazima huyu mtu atoswe,ukawa na panya ni sawa na jua na Ardhi
 
Back
Top Bottom