Account ya Dogo Jembe imeingiliwa, Je sisi wengine tutapona?

Tangu lini January Makamba kawa Dogo Jembe ?.Kama si Baba yake asingepata hata huo ubunge.
 
we hata ukiwa vippi hacking haina limit we zuia mbinu zitakuja zingine kutokana na high knowledge....so we kuwa makini ...............kama kaingiliwa je ilikuwaje ni kweli au ye kapost af inadaiwa imeingiliwa......!!!????
 
UKAWA mnapata shida.......kuishi huku unamchukia mtu ni tatizo sana....!!!! Unaweza kufa kabla ya siku zako.........

Poleni sana........!!!!!!!
 
Tangu lini January Makamba kawa Dogo Jembe ?.Kama si Baba yake asingepata hata huo ubunge.

Mkuu dogo jembe ni nickaname tu aliyopewa na mleta mada mmoja hapa jamii forum ,haina maana ni jembe ,sema ndio ukiona dogo jembe linatumika mahali ujue ni February Marope
 
Mkuu dogo jembe ni nickaname tu aliyopewa na mleta mada mmoja hapa jamii forum ,haina maana ni jembe ,sema ndio ukiona dogo jembe linatumika mahali ujue ni February Marope


Hilo jina kajipa mwenyewe toka kipindi cha kutangaza nia kuna dogo alikuwa anamvalisha vizuri hlf anamchukua video akikandia watangaza nia wenzie kisha ana upload YouTube
 
Hilo jina kajipa mwenyewe toka kipindi cha kutangaza nia kuna dogo alikuwa anamvalisha vizuri hlf anamchukua video akikandia watangaza nia wenzie kisha ana upload YouTube

Asante kwa kuweka mambo sawa ,sijawahi kumfuatilia January popote ,hivyo nilipoona hiyo mada ya dogo Jembe nikajua ni mleta mada ndio kampachika
 
Hafai kuwekwa kwenye baraza la mawaziri.

Bila kujali itikadi watanzania wengi hawampendi.so hafai kuwa kiongozi.

Ameingilia fani kizembe za kina Kipanya aonje joto ya jiwe tu.
 
Siku za karibu kuna mtu/watu wamehibuka ghafla na kuanza kuandika mada/thread za kumshambulia Dk.Magufuli bila simile,thread zenyewe ziko too emotiona kisa eti "kwa nini JPM anamdhalilisha JK adhalani!!!!" Uongo mtupu.

Binafsi sijawahi kusikia au kuona kwenye media zote JPM akimsema vibaya JK, mara zote Magufuli anazungumzia kuhusu mifumo mibovu ya Viongozi kutowajibika kikamilifu wizi/ufisadi na jinsi atakavyo yapatia ufumbuzi. Kila Mtanzania mwenye akili timamu anajua Magufuli yuko sahihi kabisa - sasa mnataka JPM hasiseme ukweli? Kwa kawaida Rais mpya upimwa uwezo wake kiakili,maono na uwajibikaji baada ya siku 100 kupita, mwenzetu ndani ya siku 28 amekwisha dhilisha umahili wake kivitendo,mnataka Mungu atupe NINI?

Nimejaribu kutafuta/tafakari kwa nini kuna watu wamepania kumwaribia sifa JPM na kumkosoa kosoa kinafiki tu,wakati wao hawana chochote cha maana walicho wahi kuchangia katika maendeleo ya Taifa letu zaidi ya rhetoric na gymics za kisiasa,ukiangalia kiundani utagundua yote hayo yanachangiwa na hofu walio nayo kutoka na kasi ya utendaji kazi wa JPM kwa mawazo yao potofu wanafikiri kasi/uwajibikaji wake unaweza kufunika wa a decade ya utawala wa JK - dhana hiyo haina ukweli wowote.

Nimalizie kwa kusema siyo vizuri kujaribu kumpiga vita vya kichini chini Mh.Magufuli,kama unaona uwezi modus operandi yake the best U can do is 2 shipout - the soonest the BETTER.
 
Back
Top Bottom