Account ya Dogo Jembe imeingiliwa, Je sisi wengine tutapona?

Hakuna kuingiliwa mzee....jamaa kapost mwenyewe sasa anaona moto umewaka anajaribu kuuzima

...nakubaliana na wewe kabisaaa, alijua Watanzania wote wajinga km yeye...sasa wacha moto umshukie!!
 
Back
Top Bottom