Account ya Dogo Jembe imeingiliwa, Je sisi wengine tutapona?

Muongo,alisema Ile Chopa Hawana Mawasiliano Na Abiria Wake,ila Deo Yupo Salama
 
Binafsi sijawahi kusikia au kuona kwenye media zote JPM akimsema vibaya JK, mara zote Magufuli anazungumzia kuhusu mifumo mibovu ya Viongozi kutowajibika kikamilifu wizi/ufisadi na
maneno mengi mpaka unajikanganya.kama unategemea Magufuli amtaje kwa jina Kikwete sahau.Magufuli anamzunguka JK waziwazi.juzi bungeni akamnanga kuwa ameenda abroad mara nyingi kuliko kumuona mama ake kjijini.
 
Ni baada ya Mawio kumuanika hadharani ndio anakuja na utetezi wa Kishenzi kama wa serikali ya KJ.
Tena asipewe uwaziri, na angongeshewe hata kosa la matumizi mabaya ya Ofisi nae tumuone Polisi akiangaika kujinasua.
 
Huyu anataka kufanya watanzania mazuzu ila yeue ndo zuzu na hiyo account haijaingiliwa wala nini
 
Kwani kweli dogo jembe nae alikuwa anautaka umajaliwa?mbona wantudharau sana wananchi hawa jamaa
 
Back
Top Bottom