Account ya Akon yakutwa ipo mil 24 tu kwenye mchakato wa kugawana Mali na mke wake

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
16,997
Reaction score
23,638
Mke wa msanii maarufu anayejulikana Kama Tomeka Thiam ambaye ni mke wa msanii maarufu wa R&B Akon ameenda kudai talaka mahakamani baada ya kuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 akidai alipwe euro million 100 Kama fidia ya kuvunja ndoa yake na Akon.

Katika mchakato wa kugawana Mali mahakama imekuta Akon ana Dola 10000 pekee sawa na mil 24 za kitanzania kwenye account yake na Mali zake zote zinamilikiwa na Mama yake mzazi
 
Kesi imefunguliwa wapi?

Inawezekana wakapigana pasu mali nyingine pamoja na spousal support bila kujali ana kiasi gani kwenye akaunti.
 
Back
Top Bottom