According to your Ex, what was your main problem?

Eti natumia mda mwingi kufanya mapenzi kuliko kufanya vitu vya msingi.. akasema ngoja atafute mtu mwenyewe Yuko na future nae..namm nikasema Amina mama unaweza enda
 
Hela
 
Kakudanganya kama alikuwa anakupenda kweli angeenda hata kukuloga uwe ndondocha,unawajua madem au unawaskia.
 
Aunt Anko wako nilimpenda mno akanicheat alaf siku nilogundua nilopoteza hisia nae kabisa Yani hata aniguse wapi sikuwah kuhis chochote Tena pamoja na kumpenda kote had Leo Wala simshtuki akwende huko
Shangaziiii ankolii ana helaa? Tuanzie hapo kwan
 

Aisee kama ulikutana na mtu wa design hii nakupa pole sana, mara nyingi huw wanahakikisha wame kudamage kila nyanja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…