Brain Kingdom
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 7,002
- 14,566
Mm siumwi tatzo lako unaendekeza sana ngono nilienae anarizika ivi nilivyo ngono ni roho ya umaskini.Ndugu yangu nitafute nikupe dawa
π π π π π πMh!...π
Daaah msamee bule ruKuna lenzio na lenyewe linajifanya Kama wewe kwanza hapigagi Simu kazi ni kunitafuta WhatsApp tu nimeamua kumfanya mchepuko kama alivyo nifanya mimi
Sababu yako ya kuachana na eksi pulllliiiiiiiiiiiiiiizz!!! πππππππππ!!!
Ex means expired...Sababu yako ya kuachana na eksi pulllliiiiiiiiiiiiiiizz!!! πππππππππ!!!
Au ndo Hujawahi kuachanaga na mutu yeyote??π€¨π€¨ππ€
Nimeipenda hiiππππEx means expired...
Kiumbe kisichokua na uhai ndiyo ex...
Ila kama bado unapumua mimi sikumbuki kama nishawahi kua na ex sijawahi zika mtu...
π π
Alisikika mlevi mmoja lakini...Nimeipenda hiiππππ
Kabiiiiiiisa lo π€πππAlisikika mlevi mmoja lakini...
Kama huna hela unaachwa tu.Mwanaume anaanzaje kuachwa?
Sasa mwanamke wa namna hiyo hana elimu anajistukia hivyo na ni mwanamke huyo angepata elimu ndio wale wanawake wenye dharau sababu ameelimika bora hata hajapata na elimu yenyewe.pia sikuelewa vizuri sababu hiyo maana ilikua kila siku nikitoa maelekezo au mawazo ya kifamilia analalama tu, ooh wewe si ndio mwenye elimu, sisi wengine hatujasoma na hatuna mawazo n.k
mwishowe akasonga mbele na sikua na haja ya kubabaika nae mpaka kesho japo tulifanikiwa kupata kijana moja wa kike pamoja π