According to your ex, what is wrong about you?

According to your ex, what is wrong about you?

Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?

Hisia ni mjumuisho wa Matatizo yote;

1. Uchafu
2. Gubu
3.
5294947.
5294948. Umalaya
 
Nimeandika nimefuta, nikaandika Tena nikafuta uzi inanikumbisha zawadi, sijapata kama yeye miaka yote hii na Bado nasimamia uamuzi wangu japo ananisubiri sitakaa nibadilishe Dini niwe msabato.
Kale kabinti kalikuwa natural....
 
Kuna hela alipata tukapishana alitaka kununua gari toyota wish mm nilimshauri asubiri kwanza ,,,,tuangalie fursa zingine
Tukapishana sana mm nikaamua kukaa pembeni nikaachana nae
 
Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Ni bahiri mno, mifumanio😁
 
Karibia mahusiano yangu yote hatujawahi kuachana kinachotutenganisha ni maybe yeye au mimi kuenda mahali pengine kwa ajili ya safari/kazi/masomo baada ya hapo mawasiliano yanaanza kupungua taratibu na kufifia kabisaa
 
Back
Top Bottom