LiFe 2-point-0
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 4,253
- 11,622
Ni kweli ila haiwagi rahis kivileeUkishaachana nae futa namba songa mbele,,,, huo mda wa kuja kujadili sbb za kuachana mnautoa wapi ?
Ni kweli ila haiwagi rahis kivileeUkishaachana nae futa namba songa mbele,,,, huo mda wa kuja kujadili sbb za kuachana mnautoa wapi ?
Poleni sana.Mbona tunaachwa sana tu. Kuacha au kuachwa ninkwa yeyote yule
natural hazards hazards na man made disaster mbona inajulikana tu kirahisi gentleman!Sasa utamhukumu vip mtu kwa maumbo yake aliyozaliwa nayo?
Ila hii nayo huwa inatuumiza sanankichwa wanaume. Mwanamke unapmbana mpaka unazua maswali 🤣Niliambiwa ni mbinafsi sababu napambana na shida zangu mwenyewe.
Na malengo makubwa nakujiskia sana nikiwa nazo yakuwa nta mnyanyasa niki zipata.Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Ndo hivyo nikaachwaIla hii nayo huwa inatuumiza sanankichwa wanaume. Mwanamke unapmbana mpaka unazua maswali 🤣
Sio poa hivyo lakin mkuuNdo hivyo nikaachwa
Yuko zake na mama wa nyumbani wana enjoy😂
Na mimi niko na hela zangu tuna enjoy
Wewe ulishaingia mkenge mkuu,,,,ex hawekwi karibu, ni mtu anayeweza hata kukuua, mkiachana funga ukurasa , anza mwingine ! Kwenye ule uzi wako kuna mahali ulisema watoto walivyoshuka kwenye gari mama yao alibaki na nadhan mlikiss ! Sio afya sana japo wapendanao hawashauriwagiNi kweli ila haiwagi rahis kivilee
HAtuku kiss.Wewe ulishaingia mkenge mkuu,,,,ex hawekwi karibu, ni mtu anayeweza hata kukuua, mkiachana funga ukurasa , anza mwingine ! Kwenye ule uzi wako kuna mahali ulisema watoto walivyoshuka kwenye gari mama yao alibaki na nadhan mlikiss ! Sio afya sana japo wapendanao hawashauriwagi
Sina shida yoyote ananitaka sana turudiane, ananipigia simu hata dakika kumi zilizopita katoka kunipigia, ila nimemblock simu zinaenda straight to voicemail.Mi binafsi alivoniacha alikujaga kunambia kuwa mi sina shida yeyote ni vile tu hana hisia na mimi.
Vipi wewe ex wako alisema shida nini mpka mkaachana?
Sawa chief,,, hizi jinsia tuendelee kuishi nazo kwa akili kama maandiko yanavyosema !HAtuku kiss.
Kwa mazingira kama yangu mkishakua na watoto ni kaz sana mkuu. Si entertain ukaribu kwa namna yoyote ile chief.
Wenye viba100 mna dhalilika aiseeEty nna kibamia 🙌
Inasikitisha sana mkuu 😭Wenye viba100 mna dhalilika aisee
Lamomy msikie mwenzakoEty nna kibamia 🙌
Za kwamba una kibamia..? 😂Ana taarifa zangu huyo 😎