.......interuption........kuna Ajali Imetokea Maeneo Ya Victoria ....!
HAWANA TOFAUTI NA SISI KWENYE TUKIO BALAA BADALA YA KUKIMBIA TUNAKIMBILIA PASIPO KUTOA MSAADA WOWOTE....! INGEKUWA HERI KAMA UNAKIMBILIA KUTOA MSAADA THEN UKADHURIKA KATIKA KUTOA MSAADA TUTAKUITA SHUJAA.........!Hizo njemba zimekaa hapo bila wasi wasi!...hazijui huo moshi unaweza kuwaletea athari kubwa katika afya zao.