Tulifanya interview mwezi wa 10 Mbeya tukaambiwa baada ya week mbili naona kimya mpaka sasa je kuna ambao wameshaitwa?? ili nijue kama sikufanikiwa
me nliawaditch ivi mlikaa mbeya siku ngapi mkuu??
Week nzima tulikaa
me nliona watanizingua tu maana walintisha na ile msg yao ya kua hawatahusika na chochote afu eti siku 6-10 nkachoka
.......Bado...!!!!!
me nliawaditch ivi mlikaa mbeya siku ngapi mkuu??
Hata mm nlkuwepo huko, nashangaa kimya tena nlpga had ya tatu
Mkuu tuendelee kusubiri maana hata sisi tuliotumiwa hatujui hatma yetu mpaka sasa yawezekana wanatuma kwa awamu
Ww uliomba nafasi gan mkuu? Mm nliomba agro loan lkn cjapata sms na hata jmaa angu tulioomba pamoja agro hajapata,
Naomba nijue walioomba agro walipata sms ya aina gani? Au sms ni hiyo hiyo kwa wote, naomba nichekie kama unamfaham aliyeomba agro na akapata sms
Nasikia bank inafunguliwa mwezi wa kwanza tuweni na subira
Ngoja nifanye tafiti ntakuja Mimi niliomba loan officer ila hata customer service na marketing wametumiwa ila kuna wengine nao hawajapata hiyo text tuwe wavumilivu tu
Naona tumetumiwa ujumbe
Tunakushukuru kwa kushiriki usaili uliofanyika Mbeya mnamo mwezi wa Oktoba 2015.Tunaomba radhi kwa kuchelewa kutoa majibu kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu.Taarifa zaidi tutakujulisha hapo baadae. Accessbank Tanzania.
duh hatari sana me nlienda kufanya tpb naona mpk sasa kimya week ya pili inataka kukatikasijui kama washaita watu au namna gani
Hauna mawasiliano na mliofanya nao??