Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

Access Bank wameshaita wafanyakazi wapya?

walinipigia siku ya kunitaarifu interview tu na namba ya tigo sikuisave ila walini email pia kauli yao ya mwisho walisema ukiwa selected watakutatfuta so sikuhangaika kuwachek

Haukuchukua namba ya watahiniwa wenzio???
 
nliokua na wenge maana competitors wangu wengi walikua wanapiga intern pale so nkaona ntakua najichoresha afu post zilkua 4 tu watu tulikua tunaenda kwa muda kuna wa saa moja,mbili,tatu nk almost km 50 kwa idadi ndogo
 
Duh hope utafanikiwa usikate tamaa
 
ngoja tusubiri mkuu hoply na nyie access mtafanikiwa
 
Ww uliomba nafasi gan mkuu? Mm nliomba agro loan lkn cjapata sms na hata jmaa angu tulioomba pamoja agro hajapata,
Naomba nijue walioomba agro walipata sms ya aina gani? Au sms ni hiyo hiyo kwa wote, naomba nichekie kama unamfaham aliyeomba agro na akapata sms

Naona Agro loan wameanza kupigiwa simu leo
 
Back
Top Bottom