Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 638
- 1,902
Wakuu mara ya mwisho nilifika mkoani Mbeya mwaka 2017 ,Sikuona hotel nzuri za kuweza kuwabeba waheshimiwa na mabalozi ,Na kabla ya hapo nimeishi hapo Mbeya miaka mitano
Sijawahi kuona Mbeya ghorofa lenye floor zaidi ya kumi? Wakati huo story zilikuwa Mbeya ni volcanic area na kuna tectonic nyingi saana yaani matetemeko na mitikisiko ndio chanzo cha Mbeya kutokuwa na Majengo marefu,Sababu hizo ni zile za miaka ya 2000 mpaka 2009
Serikali imehamia huko Mbeya yaani mawaziri,Makatibu ,Wakuu wa mikoa na wilaya Jumlisha na Taasisi ya Rais mwenyewe ipo huko Mbeya kwenye maonyesho ya nane nane
Kabla ya ujio wa hao wageni kuna wakurugenzi wa taasisi mbalimbali pamoja na wafanyakazi wao wamepiga kambi huko Mbeya zaidi ya week mbili sasa
Swali langu,Je Mbeya kuna hotel za kuhimili na zenye hadhi ya kufikia mabalozi ?Na Je hizo hotel zipo ngapi?
Wenye picha wa hizo hotel mtusaidie tafadhali