Access bank hakuna dili

hajjat

Member
Mar 7, 2012
16
3
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....
 
Pole mkuu ila kama vipi hauna deal nyingine vumilia huenda baada ya hapo ikitokea upenyo wa kazi hapo watakufikilia zaidi kuliko mtu mwingine kutoka nje...

Kwani unapata commission ngapi kwa kila mteja ukipata.., na hio buku kweli inatosha usafiri na issue za mchana kama vipi ongea nao kwamba usiwe unareport kila siku ofisini bali unafanya nao kazi kwa kuwaletea wateja yaani unareport direct huko unapowatafuta wateja.., hizo buku buku wakuwekee ikifika mwisho wa mwezi unazifata
 
Aliyekuambia usign hiyo karatasi yao nani? Achana na Accessbank wababaishaji sana hao pimbu......Ni bora uuze mananasi kuliko kupoteza muda hapo kwanza unaidhalilisha elimu yako pasipo wewe kufahamu be carefully ndugu.
 
du kweli soo, mkuu komaa ,si wajua mwenda bure ni tofauti na mkaa bure
 
What!!!
kwani ume-sign mkataba kwa kazi gani?

Mkuu, fanya hivi, when you rate yourself that low, people will take you for a ride!
Dont accept upumbavu wa namna hiyo!

Kama ulijua aina ya kazi hapo sawa, kwasababu unaweza kutumia ACCESS BANK kama Address ya kuondokea, otherwise usikubali huo upuuzi!
 
Nlisagn kana CASHIER,sio siri nimechemka,Iam nt rate myself at low thats y nimeweka upumbavu huu mezani kuwajuza na wengine wasije jua kuna ishu uku ACCESS
 
Aliyekuambia usign hiyo karatasi yao nani? Achana na Accessbank wababaishaji sana hao pimbu......Ni bora uuze mananasi kuliko kupoteza muda hapo kwanza unaidhalilisha elimu yako pasipo wewe kufahamu be carefully ndugu.

Poa kaka nimekupata
 
Pole sana mkuu.Vumilia tu kama huna kazi nyingine.Sasa hiyo buku dah sipati picha.
 
Hao ni wehu, sasa kama wamefulia kwanin waliajir?Hawa ndo wawekezaj uchwara wanao-take advantage ya sera mbovu za uchumi za 'magamba'!Pole sana kamanda...

Duh, ama kwel 'ba riz' anajua ktukomesha!
 
Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni CASHIER au LOAN OFFICER jibu silipati.........kwa kweli kazi imenishinda bora nirudi kijiwe.......sijaona tofauti yao na X-MARKETING.Mshahara niliosaign kwa level yangu ya degree ni laki moja nusu kwa mwezi.....

tukiwaambia muwe wajasiriamali hamtaki..ona mnavyochoreshwa!
 
duu... pole sana kijana. Hao jamaa ni noma na ndoo maana kila siku wanatangaza kazi. HAWAFAI KUIGWA NA JAMII.

USHAURI, endelea nao wakati huo unatafuta mahara pengine. DUUUUU.......AJIRA HIZI BWANA ZINA MAMBO MENGI SANA
 
mhhh kaka pole sana, kwa hali hiyo maamuzi magumu yanahusika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom