Academic books books for free

Academic books books for free

download kwanza Google Books Downloader for Windows and Mac OS X alafu nenda books.google.com tafuta kitabu unachotaka then copy the link ya kitabu unachotaka na kupaste kwenye google books downlaader alafu download na utapa kitabu chote.mfano utaona kwny hiyo software ya google boooks downloader.
Mkuu nimefanya hivi na nimepata vitabu kadhaa lakini page zaidi ya nusu hazionekani.Zimeandikwa "You have either reched a page that is unavailable for viewing or reached your page limit for this book"
xLDIsPvH3UUAAAAASUVORK5CYII=
xLDIsPvH3UUAAAAASUVORK5CYII=

Hapa nafanyaje kukipata chote,technique yoyote?
 
Ukifika kipiungele cha nne kwenye bookboon utaona dowload bonyeza alafu utakipata.Pia unaweza ukaweka e mail yako kwenye namba moja wawe wanakupa taarifa wanapoongeza vitabu.
 
ndugu hapo sina ujanja kwan ata mi saa nyngine inaniandika the same. lakin si karibia zote zina onekana,pia unaweza kusoma online kupitia hiyo google books zile pages ambazo hazionekani,hivyo hivyo kibingwa kwan vitabu vizuri mpaka utoe chapaa amazon mwana,si uku saut-mwanza 2nakomaa hivyo hivyo :smiling:
 
Back
Top Bottom