Wamtaa huu
Senior Member
- Jan 21, 2011
- 168
- 55
Wapi nimesema kuwa sijui vitabu vinauzwa?Sanasana andiko linajieleza kuwa najua vinauzwa lakini pia nafahamu vipo vya bure na ndipo ninapohitaji msaada wa hizo sites.BTW,mi sio msomi.Msomi gani usiejua kua vitabu vinauzwa?
hivi scribd bado kuna vitabu? maana kuna kipindi walianza kulazimisha watu walipie, wevi sana wale jamaa/
zaidi ya 99% ya vitabu vilivyopo duniani vinauzwa (ukiondoa vile ambavyo validity ya copyright ime-expire), hata huyo X-paster unayemtumainia alileta list ya vitabu vya uizi..we nyosha tu lugha kua 'ni wapi nitaiba vitabu?', utaeleweka/Wapi nimesema kuwa sijui vitabu vinauzwa?Sanasana andiko linajieleza kuwa najua vinauzwa lakini pia nafahamu vipo vya bure na ndipo ninapohitaji msaada wa hizo sites.BTW,mi sio msomi.
Much respect mkuu!
hivi scribd bado kuna vitabu? maana kuna kipindi walianza kulazimisha watu walipie, wevi sana wale jamaa/
Wakuu,
Nahangaika kupata softcopies za vitabu vya kitaaluma ambavyo vitanisaidia kwa namna moja au nyingine.Nimeingia websites mbalimbali lakini vingi vizuri ni vya kununua.Kama unajua site ya vitabu vizuri vya kitaaluma ambako access ni bure tafadhali toa msaada wako hapa.Natanguliza shukrani.
Jaribu hapa Online Textbooks for Free
Jaribu hapa Online Textbooks for Free