Academic books books for free

Wamtaa huu

Senior Member
Jan 21, 2011
168
55
Wakuu,
Nahangaika kupata softcopies za vitabu vya kitaaluma ambavyo vitanisaidia kwa namna moja au nyingine.Nimeingia websites mbalimbali lakini vingi vizuri ni vya kununua.Kama unajua site ya vitabu vizuri vya kitaaluma ambako access ni bure tafadhali toa msaada wako hapa.Natanguliza shukrani.
 
Endelea kutafuta ambavyo ni vya bure. @xpaster aliwahi kunisaidia na ebooks za bure. Njia nyingine ni kudownload free journals
 
Msomi gani usiejua kua vitabu vinauzwa?
Wapi nimesema kuwa sijui vitabu vinauzwa?Sanasana andiko linajieleza kuwa najua vinauzwa lakini pia nafahamu vipo vya bure na ndipo ninapohitaji msaada wa hizo sites.BTW,mi sio msomi.
 
Wapi nimesema kuwa sijui vitabu vinauzwa?Sanasana andiko linajieleza kuwa najua vinauzwa lakini pia nafahamu vipo vya bure na ndipo ninapohitaji msaada wa hizo sites.BTW,mi sio msomi.
zaidi ya 99% ya vitabu vilivyopo duniani vinauzwa (ukiondoa vile ambavyo validity ya copyright ime-expire), hata huyo X-paster unayemtumainia alileta list ya vitabu vya uizi..we nyosha tu lugha kua 'ni wapi nitaiba vitabu?', utaeleweka/
 
Wakuu,
Nahangaika kupata softcopies za vitabu vya kitaaluma ambavyo vitanisaidia kwa namna moja au nyingine.Nimeingia websites mbalimbali lakini vingi vizuri ni vya kununua.Kama unajua site ya vitabu vizuri vya kitaaluma ambako access ni bure tafadhali toa msaada wako hapa.Natanguliza shukrani.

Download software hizi MediaGet na Express files kisha install, ukizifungua zitakuletea sehemu ya kusearch andika aina ya kitabu unachotaka au eneo unalopenda utapata list ya vitabu vingi sana utachagua mwenyewe. Programs hizi unaweza kupata chochote unachotaka kuanzia software, books, music, movies n.k, vyote utadownload bure kabisa, ni uwezo wako wa pesa. Zinahitaji mtandao uwe mzuri kama upo chini haziwezi kudownload. Ukifanikiwa usisahau kutufeeback na wengine wafaidi. Kila la heri
 
Hata mimi nilikuwa na shida hii.Asanteni wote mliotoa misaada humu,Thanx pia kwa muanzisha mada.Long live JF!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom