ACACIA warns of mine closure unless Tanzania lifts export ban

chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
8,084
5,203
Acacia Mining, one of the largest gold producers in Africa, will be forced to close its flagship mine in Tanzania unless the government lifts an export ban that has seen the company chew through almost half its cash pile in the past six months.

The FTSE 250 company, which is majority owned by Barrick Gold, has been involved in a bitter dispute with Tanzania’s President John Magufuli since he banned exports of unprocessed ores in March as part of a plan to promote the development of domestic smelting.

Brad Gordon, Acacia’s chief executive, said on Friday that the company would be “prudent” to mothball the Bulyanhulu mine if negotiations with the east Africa nation had not been concluded by the end of September. “We have to protect our cash pile,” Mr Gordon said as the company released interim results.

Tanzania has accused Acacia, one of the country’s largest private employers, of operating illegally and failing to pay billions of dollars of taxes; the company has denied the charges. In June, Tanzania agreed to start discussions with Barrick to try and settle the dispute, which has wiped £1bn off Acacia’s market value over the past six months.

Mr Gordon said he was disappointed not to be involved in the negotiations with the government but was confident of a positive outcome because both sides had too much to lose.

“We could be sitting here at the end of the year in a very different space,” he said.

Friday’s results showed Acacia’s cash position had fallen to $176m at the end of June, down from $318m at the beginning of the year, because it has been unable to sell 127,000 ounces of gold concentrate, or powder.

In the six months to June, revenue fell 22 per cent to $391.7m, while pre-tax profits were down just 2 per cent to $99.5m supported by “strong cost discipline”. Acacia did not declare an interim dividend because of the export ban.

“While the cash reduction is frightening, it is a natural reflection of the $1m a day that is being tied up in inventories while the export ban remains in place,” said Hunter Hillcoat, analyst at Investec Securities.

Acacia has invested more than $4bn in Tanzania over the past 20 years and operates three mines in the country.

Bulyanhulu has been hit hardest by the export ban because almost half of its output is gold concentrate and it produces fewer valuable by-products such as copper.

Mr Gordon dismissed reports that two senior Acacia executives had been detained at an airport in Tanzania this week but said some of the company’s international contractors had faced difficulties getting work and residency permits.

Shares in Acacia fell 16 per cent, to a 17-month low of 234.5p on Friday. The shares are down 50 per cent since March and the company’s market value now stands below £1bn.
 
Mbona jamaa wanatutisha sana. Au na wenyewe wanafanya siasa km sisi chama tawala.


Maskini mimi Mungu nisaidie.
 
Mimi nadhani mheshimiwa rais afanye maamuzi sahihi tu ya kutaifisha ma kampuni hayo na kila kitu kilichoko hapa kinachowahusu. Lakini ili kuwa some ashughulike na wale waliowaingiza hapa chini bila kujali vyeo vyao wala itikadi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Tz ikitaifisha hiyo migodi haitaweza kamwe kuiendeleza kwa hapo ilipofikia. Maana migodi hiyo mikubwa sasa HV IPO underground gharama ni kubwa sana kuoperate. Imetushinda kamgodi kadogo tu meremeta tutaweza GGM au North Mara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwara anaopiga Magufuri utadhani wananchi ndio walisaini hiyo mikataba yao ya hovyo hovyo maana kila kukicha wananchi ndio wanaoambiwa wapiga saini wametulia kimya tu fanya maamuzi sahihi na si vitisho ambavyo havisaidii hao wameiba na wanaendelea kuiba...
 
Jinsi hiyo habari ilivyoandikwa kwa kukumbusha gharama za uwekezaji, kama haya mambo yakifikia kufungwa huo mgodi basi tutegemee kudaiwa Kimataifa na tutegemee pia kuwa watashinda kesi na tukifanya ubishi kulipa tutegemee kufungwa mikanda kwa muda mrefu.

Hawa watu huwa hawana utani linapokuja suala la maslahi yao.
 
Sisi tunafanya siasa za maigizo wenzetu wanafanya maandalizi ya vita ya kiuchumi
CCM Mlisaini mikataba corrupt leo mnaanza kuwadanganya watz , time will tell
Jambo la kwanza, mnanichosha sana wapinzani mkiasema CCM mme sign mikataba mibovu, nyie hamjawahi kuishika ikulu, sidhani kama mngekuwa serikalini hata awamu moja msingekuwa mmefanya madudu yenu. Kumkubali Lowasa ni kielelezo tosha.

Pili huo mgold wa Bulyankulu kabla hata skendo haijaanza walisema wanampango wa kuufungu mwisho wa mwaka huu kwa kuwa hauna faida tena.

Jamaa wana tapatapa kama mfaa maji. Hapo nikukaza tu, maji tumeshayavulia nguo, tukilegeza now, hutaweza kufanya kitu kama hiki tena.
Hawa jamaa tumewashika pabaya, wakikubali wameiba, kampuni yao itakuwa blacklisted kwenye London Stock Exchange, wakikataa wanapoteza chanzo kikubwa sana cha hela. So hata mimi ningetoa vitisho kila sekunde.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikulachochako wananchi hata mkiwa pamoja hamna mtakachoweza kubadili maana mikataba mibovu iliyopo na inayoendelea kuwepo inawabeba wazungu wewe uliona wapi eti madini na mchanga ni mali ya wachimbaji wenyewe wameingia mikataba ya hovyo hovyo inatakiwa busara sana kutatua hilo tatizo na si mikwara wakati wengine wapo wanaendelea kula kwa kuliingiza Taifa hasara kwa muda mrefu..
 
Jinsi hiyo habari ilivyoandikwa kwa kukumbusha gharama za uwekezaji Kama haya mambo yakifikia kufungwa huo mgodi basi tutegemee kudaiwa Kimataifa na tutegemee pia kuwa watashinda kesi na tukifanya ubishi kulipa tutegemee kufungwa mikanda kwa muda mrefu.

Hawa watu huwa hawana utani linapokuja suala la maslahi yao.
Dah mpaka FaizaFoxy amelisimamia hili....bila kujari mapenzi kwa raisi wetu mpendwa. Kweli naona janga laja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nadhani mheshimiwa rais afanye maamuzi sahihi tu ya kutaifisha ma kampuni hayo na kila kitu kilichoko hapa kinachowahusu. Lakini ili kuwa some ashughulike na wale waliowaingiza hapa chini bila kujali vyeo vyao wala itikadi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkataba unasema serikali haitataifisha mali zao whatsoever! Jaribu muone maana ushabiki wa kijinga ni hatari. Mikataba inasema hautataifisha mali zao. Na mtalinda mali zao.... MICA ndivyo inavyosema, tumesaini wenyewe. They might opt for a military solution to salvage their properties. Acha ushabiki wa kijinga kama Sadam, sasa anaonza na Gadafi! Waite tukae nao tuongee, watakubali maana na wenyewe wanaona kuwa mikataba inatulalia. Siyo ubabe. Kama ubabe (kwa mfano, though this is most unlikely) wakileta majeshi mtapigana na Uingereza, America, Canada!
 
Back
Top Bottom