ACACIA warns of mine closure unless Tanzania lifts export ban

Nadhani ifikie kipindi akili zetu zichambue mambo ya siasa na mambo ya taifa kwa ujumla.....

Linapokuja suala la siasa si vibaya CCM kuisimanga CDM au CDM kuisimanga CCM lakini linapokuja suala la kitaifa lazima tuwe pamoja....kwa sababu hasara ni ya kwetu sote.......

Mkeo anapochukua mkopo na kuweka rehani nyumba yenu....wewe utaacha tu nyumba iyende na maji au utapambana kwanza nyumba ibaki alafu tofauti zenu mje kujadili ndani.....!!?
Maswala ya kitaifa ni pamoja na kuharibu shamba la mboga la mbowe..

Swala la kitaifa ni pamoja na kuwafunga upinzani ma saa 48 mahabusu.

Swala la kitaifa ni pamoja na kumtia ndani T.Lisu bila hatia na kumpima mkoja...

Ccm labla muungane na mashetani kwenye kuleta hayo maendeleo ya kitaifa... Na siyo wananchi wa kawaida
 
Jinsi hiyo habari ilivyoandikwa kwa kukumbusha gharama za uwekezaji, kama haya mambo yakifikia kufungwa huo mgodi basi tutegemee kudaiwa Kimataifa na tutegemee pia kuwa watashinda kesi na tukifanya ubishi kulipa tutegemee kufungwa mikanda kwa muda mrefu.

Hawa watu huwa hawana utani linapokuja suala la maslahi yao.
Vipi mama unaonaje tuwaache waendelee kutunyonya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waondoke tu kuliko kutuibia matrilion..., tuna jeshi imara sana kujilinda..., hatuhitaji misaada kutoka nje tunaweza kujitegemea kwa utajiri wa ndani...,


hivo ndo vihoja vya kipropaganda tutakavyovisikia kutokea upande wa pili
 
Tz ikitaifisha hiyo migodi haitaweza kamwe kuiendeleza kwa hapo ilipofikia. Maana migodi hiyo mikubwa sasa HV IPO underground gharama ni kubwa sana kuoperate. Imetushinda kamgodi kadogo tu meremeta tutaweza GGM au North Mara!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati tunataifisha ni pamoja na machineries and equipments. We can manage issue ni willpower na determination basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatujaweza kutumia propaganda kabisa, ingekuwa vyema kama tungetafuta makosa ya wazi na vidhibiti wakati wa kuingia mikataba na kuwaumbua. Sasa mpo tayari kufukua makaburi ili watu watolewe kafara. Mean wawe chambo. Swiss money may be linked with such mikataba!?
Hilo ndio lengo lao; wengine humu wanadhani "wanafunga tu"; watafunga ili waende mahakamani kudai chao na ushindi kwao ni dhahiri. Sikilizia hayo mabilioni ya dola watakayolipwa; nchi itafilisika hii muwache ujinga wenu mnaoshabikia ujinga. Njia sahihi zifuatwe kumaliza huu mgogoro; wao wameshika mpini sisi tumekumbatia makali, wataturarua matumbo. Fanyezi mzaha mkidhani mnafukuza machinga barabarani.
 
Washenzi hao,Revenue yao imekwenda down kutokana na mianya yao kuzibwa.
Ngoja waisome namba.
Tena ni bora wafunge na waondoka hata hiyo September ni mbali.
 
hiyo habari ilivyoandikwa kwa kukumbusha gharama za uwekezaji, kama haya mambo yakifikia kufungwa huo mgodi basi tutegemee kudaiwa Kimataifa na tutegemee pia kuwa watashinda kesi na tukifanya ubishi kulipa tutegemee kufungwa mikanda kwa muda mrefu.

Hawa watu huwa hawana utani linapokuja suala la maslahi yao
Kwa mara ya kwanza naona akili Lumumba inaanza kuwarudia!! Na uhakika 2020 tutakuwa tunaongea lugha moja!!! Time is the only factor for everything! Let's wait!
 
This dispute is good in order to achieve our goals.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Magufuli ni mtu mdogo sana kwenye nchii hii

Ni mtu mdogo kwa maana thamani haiwezi kushindana na mamilioni ya Watanzania wanaotarajia kuangamia kwa maamuzi yake binafsi.....Tanzania ni mali yetu sote uwe kada au usiwe kada.....

Tunapoanza mambo ya kususia mambo yanayotuangamiza kitaifa hatumkomoi yeye Magufuli bali tunaiangamiza nchi yetu sisi wenyewe.....

Magufuli atapita kama walivyopita wengine lakinj Tanzania itabaki kama yeye alivyoikuta......

Tusimame pamoja kama taifa katika masuala yanayoligusa taifa.....tusimame kimakundi kwenye masuala ya vyama....

Sasa tusubirie hadi atakapo ondoka ?
Maana kaanza kusigina walio wakubwa ili sisiw adogo tukae kimya.
Kiufupi watu wamemsusia na hii vita kuna uwezekano akapigana peke yake na akashindwa
Binafsi siwezi muunga mkono hat tukipewa bunduki kwa lazima nitakimbia maana sipo tayari kufa kwa ujinga wake
 
Sasa tusubirie hadi atakapo ondoka ?
Maana kaanza kusigina walio wakubwa ili sisiw adogo tukae kimya.
Kiufupi watu wamemsusia na hii vita kuna uwezekano akapigana peke yake na akashindwa
Binafsi siwezi muunga mkono hat tukipewa bunduki kwa lazima nitakimbia maana sipo tayari kufa kwa ujinga wake

Sawa uwe na wakati mwema....ndugu
 
Sasa tusubirie hadi atakapo ondoka ?
Maana kaanza kusigina walio wakubwa ili sisiw adogo tukae kimya.
Kiufupi watu wamemsusia na hii vita kuna uwezekano akapigana peke yake na akashindwa
Binafsi siwezi muunga mkono hat tukipewa bunduki kwa lazima nitakimbia maana sipo tayari kufa kwa ujinga wake
Kimbia tu kunguru muoga, JPM ana jeshi la kutosha nyuma yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acacia Mining, one of the largest gold producers in Africa, will be forced to close its flagship mine in Tanzania unless the government lifts an export ban that has seen the company chew through almost half its cash pile in the past six months.

The FTSE 250 company, which is majority owned by Barrick Gold, has been involved in a bitter dispute with Tanzania’s President John Magufuli since he banned exports of unprocessed ores in March as part of a plan to promote the development of domestic smelting.

Brad Gordon, Acacia’s chief executive, said on Friday that the company would be “prudent” to mothball the Bulyanhulu mine if negotiations with the east Africa nation had not been concluded by the end of September. “We have to protect our cash pile,” Mr Gordon said as the company released interim results.

Tanzania has accused Acacia, one of the country’s largest private employers, of operating illegally and failing to pay billions of dollars of taxes; the company has denied the charges. In June, Tanzania agreed to start discussions with Barrick to try and settle the dispute, which has wiped £1bn off Acacia’s market value over the past six months.

Mr Gordon said he was disappointed not to be involved in the negotiations with the government but was confident of a positive outcome because both sides had too much to lose.

“We could be sitting here at the end of the year in a very different space,” he said.

Friday’s results showed Acacia’s cash position had fallen to $176m at the end of June, down from $318m at the beginning of the year, because it has been unable to sell 127,000 ounces of gold concentrate, or powder.

In the six months to June, revenue fell 22 per cent to $391.7m, while pre-tax profits were down just 2 per cent to $99.5m supported by “strong cost discipline”. Acacia did not declare an interim dividend because of the export ban.

“While the cash reduction is frightening, it is a natural reflection of the $1m a day that is being tied up in inventories while the export ban remains in place,” said Hunter Hillcoat, analyst at Investec Securities.

Acacia has invested more than $4bn in Tanzania over the past 20 years and operates three mines in the country.

Bulyanhulu has been hit hardest by the export ban because almost half of its output is gold concentrate and it produces fewer valuable by-products such as copper.

Mr Gordon dismissed reports that two senior Acacia executives had been detained at an airport in Tanzania this week but said some of the company’s international contractors had faced difficulties getting work and residency permits.

Shares in Acacia fell 16 per cent, to a 17-month low of 234.5p on Friday. The shares are down 50 per cent since March and the company’s market value now stands below £1bn.
Chanzo tafadhali


Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
NDIYO TATIZO LA CHAMA KuWA IKULU WA MUDA MREFUUUU. IMEISHAKUA KAMA FAMILIA. INABIDI TULIE KAMA SAMAKI SIRI YA MACHOZI AIJUA SAMAKI MWENYEWE. INAWEZEKANA KABISA UWEZO WANGU WA KUFIRIA NI MDOGO SANA KULINGANISHA NA WENGINE MNIWIE LADHI KWA HILO. MFANO NAKUMBUKA SERIKALI ZA WANAFUNZI MASHULENI NA VYUONI SEMBUSE KWENYE NCHI. TULIKUWA TUNAKULA MAHARAGE KILA SIKU LAKINI UKIMTEMBELEA KIONGOZI WAKO CHUMBANI KWAKE UTAFIRIA YUKO HOTEL FULANI HIVI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tz ikitaifisha hiyo migodi haitaweza kamwe kuiendeleza kwa hapo ilipofikia. Maana migodi hiyo mikubwa sasa HV IPO underground gharama ni kubwa sana kuoperate. Imetushinda kamgodi kadogo tu meremeta tutaweza GGM au North Mara!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanufaika mnaonekana tu

Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
 
Jinsi hiyo habari ilivyoandikwa kwa kukumbusha gharama za uwekezaji, kama haya mambo yakifikia kufungwa huo mgodi basi tutegemee kudaiwa Kimataifa na tutegemee pia kuwa watashinda kesi na tukifanya ubishi kulipa tutegemee kufungwa mikanda kwa muda mrefu.

Hawa watu huwa hawana utani linapokuja suala la maslahi yao.
Ukiongea bila mahaba ya chama tawala hua unaongea facts sana mkuu…
Hongera kwa kuona hilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom