ACACIA warns of mine closure unless Tanzania lifts export ban

Ni Tanzania pekee ambapo wananchi wake wanafurahia mabalaa kwenye nchi yao......

Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM imefanya madudu mengi sana kwa faida ya matumbo yao......

Lakini kwa hapa ilipofikia tunatakiwa tusimame pamoja kama taifa.....
tutasimamaje na mkurupukaji mbaguzi?asiyeshaurika?
 
Kwa jinsi hali ya upepo inavyokwenda huenda watanzania wengi wakazidi kuwa Upande wa ACACCIA kuliko kumuunga mkono Nduli, maana wameshaanza kuufahamu ukweli halisi wa sakata zima, na wameshatambua kuwa Nduli anataka kutuzamisha shimoni mazima kwa kutumia mwamvuli wa ujinga unaoitwa Uzalendo.
 
Katika mazingira ambayo watanzania wengi wanapiga kelele kuwa wanabaguliwa na kuteswa kwa misingi ya Kiimani, Kikabila, kikanda, Kiitikadi, Kijinsia na kijamii, tutegemee Serikali kukosa kuungwa mkono kwenye vita yoyote ile.

Badala ya serikali kutupatia ripoti nzima ya Makinikia na Ukweli wote ili wananchi tuchambue na kukosoa ili tupate Facts muhimu za kwenda kupambania rasilimali zetu, serikali imekuwa busy Kukamata watu muhimu wenye Ujasiri na kwenda kuwapima Mikojo yao ili kuona kama wana chembe chembe za kichochezi!!!!
 
Mbona jamaa wanatutisha sana. Au na wenyewe wanafanya siasa km sisi chama tawala.

Maskini mimi Mungu nisaidie.
Hapana, ukweli ni kuwa wameshikwa pabaya na dili limebumburuka.
Hiyo waliokuwa wanatudanganya kuwa ni mchanga usio na dili ndo dili lenyewe haswaa.
Hebu angalia ripoti za hasara wanayokula Accacia afu ndo ujue tulikuwa tunapigwa kiasi gani.
 
Ni Tanzania pekee ambapo wananchi wake wanafurahia mabalaa kwenye nchi yao......

Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM imefanya madudu mengi sana kwa faida ya matumbo yao......

Lakini kwa hapa ilipofikia tunatakiwa tusimame pamoja kama taifa.....
Well sayed
 
Jinsi hiyo habari ilivyoandikwa kwa kukumbusha gharama za uwekezaji, kama haya mambo yakifikia kufungwa huo mgodi basi tutegemee kudaiwa Kimataifa na tutegemee pia kuwa watashinda kesi na tukifanya ubishi kulipa tutegemee kufungwa mikanda kwa muda mrefu.

Hawa watu huwa hawana utani linapokuja suala la maslahi yao.
CCM mpunguze viherehere mkiona pesa za wawekezaji. Mnasign mikataba ya hovyo halafu mwataka wananchi wawahurumie mkishaharibu
 
ACACIA wana mikwara sana.Kila siku wanatishia nyau tu.
Waende tu mahakamani ah
 
Jambo la kwanza, mnanichosha sana wapinzani mkiasema CCM mme sign mikataba mibovu, nyie hamjawahi kuishika ikulu, sidhani kama mngekuwa serikalini hata awamu moja msingekuwa mmefanya madudu yenu. Kumkubali Lowasa ni kielelezo tosha.

Pili huo mgold wa Bulyankulu kabla hata skendo haijaanza walisema wanampango wa kuufungu mwisho wa mwaka huu kwa kuwa hauna faida tena.

Jamaa wana tapatapa kama mfaa maji. Hapo nikukaza tu, maji tumeshayavulia nguo, tukilegeza now, hutaweza kufanya kitu kama hiki tena.
Hawa jamaa tumewashika pabaya, wakikubali wameiba, kampuni yao itakuwa blacklisted kwenye London Stock Exchange, wakikataa wanapoteza chanzo kikubwa sana cha hela. So hata mimi ningetoa vitisho kila sekunde.

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu ccm ndiyo fola ata ingekuwa upinzani ningesema nasema hivi sababu viongozi walipewa dola (Ccm) wanafanya siada wakati tumesain mikataba ya kifisadi na tunsoumia ni wananchi bila kujali chama kwa hiyo nawalaunu ccm kwa kufuni ka moshiwakati moto unawaka
Pia ni lazima kikubali makosa na kusahihishamakosa na si kuanza kuleta propaganda za kishenzi huku wakijua mikataba inatubana kama taifa Na ni lazima wahusika ambao ni wadtafu wawajibishwe kwa ushenzi uliofanyika ili iwe fundisho kwa vizazi vijavyo
 
Ni Tanzania pekee ambapo wananchi wake wanafurahia mabalaa kwenye nchi yao......

Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM imefanya madudu mengi sana kwa faida ya matumbo yao......

Lakini kwa hapa ilipofikia tunatakiwa tusimame pamoja kama taifa.....
Taifa haliwezi kusimama pamoja kwa aina hii ya mfumo, yanayoendelea Kibiti ni matokeo ya ukandamizaji wa muda mrefu lakini hatutaki kujifunza.

Walioingiza nchi matatizoni wapo hai, futa kinga yao wapandishwe mahakamani na raia wote watanyooka mstari mmoja na kila mtu ataelewa kinagaubaga Tanzania ni Taifa la haki sawa kwa wote.
 
Hapana, ukweli ni kuwa wameshikwa pabaya na dili limebumburuka.
Hiyo waliokuwa wanatudanganya kuwa ni mchanga usio na dili ndo dili lenyewe haswaa.
Hebu angalia ripoti za hasara wanayokula Accacia afu ndo ujue tulikuwa tunapigwa kiasi gani.
Kama Rais anawashauri wenye akili kama hizi basi ni msiba, tumekula hasara.
 
Taifa haliwezi kusimama pamoja kwa aina hii ya mfumo, yanayoendelea Kibiti ni matokeo ya ukandamizaji wa muda mrefu lakini hatutaki kujifunza.

Walioingiza nchi matatizoni wapo hai, futa kinga yao wapandishwe mahakamani na raia wote watanyooka mstari mmoja na kila mtu ataelewa kinagaubaga Tanzania ni Taifa la haki sawa kwa wote.

Asante sana ndugu yangu kwa mchango wako wenye siha........

Lakini ndugu yangu hatupaswi kuacha taifa letu lipasuliwe na mtu mmoja....tunatakiwa kuchukua hatua kama taifa kwa manufaa ya taifa na vizazi vyetu.....

Hata boko haram walipoanza ilidhaniwa ni vitu dhidi ya serikali lakini mpaka leo hii waathirika wakuu ni wananchi ambao ni kama mimi na wewe kwa kuwa serikali ni mimi na wewe

33c6cbb5a97bf6be6ee872a2d85809ce.jpg

Huyo aliyekufa hapo ni mwananchi na sio kiongozi wa serikali....

bf95e9d28846cdc44e5517cb6069614e.jpg
7f346cc8454da9421b9434bf9f02d6fb.jpg
6aeb63471464afc4232adc0094868bfd.jpg
31a1c1146fb4c4086f34eb50457615ce.jpg
 
Tz ikitaifisha hiyo migodi haitaweza kamwe kuiendeleza kwa hapo ilipofikia. Maana migodi hiyo mikubwa sasa HV IPO underground gharama ni kubwa sana kuoperate. Imetushinda kamgodi kadogo tu meremeta tutaweza GGM au North Mara!

Sent using Jamii Forums mobile app
...Mkuu wasamehe tuu hao, hawajui implications ya wanachopost, wanafikiri kila kitu ni politic...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni Tanzania pekee ambapo wananchi wake wanafurahia mabalaa kwenye nchi yao......

Sote tunafahamu kuwa serikali ya CCM imefanya madudu mengi sana kwa faida ya matumbo yao......

Lakini kwa hapa ilipofikia tunatakiwa tusimame pamoja kama taifa.....
...Unaanzaje kusimama pamoja kama taifa ikiwa upande mmoja unachukuliwa kwamba wao hawana haki wala mchango kwenye ujenzi wa taifa lao? Wanapuuzwa, kunyanyaswa na kunyimwa haki zao as if wao si Tanzania? Sasa ktk mazingira hayo huo umoja mnatarajia kuupataje? Labda kwa kutumia polisi kama kawaida yenu....
 
Back
Top Bottom