ACACIA: Response to Allegations on Gold/ Copper Concentrate Exports

ACACIA: Response to Allegations on Gold/ Copper Concentrate Exports

Wezi tu hao. Tatizo ni wapiga dili waliokuwepo bongo.
Kwa mchakato huo toka migodini, dry port na hadi Dar port, kama mamlaka zote za ukaguzi zimejaa wapiga dili..then nina wasiwasi kama hapa nchini kuna mtu ambaye si mpiga dili. Inawezekana hata hao wavalia njuga sakata hili ni wapiga dili tu, labda wamezidiwa hesabu sehemu na hasira zimewapanda wameamua kumwaga ugali.
 
(“Acacia” or the “Company”) Response to Allegationson Gold/ Copper Concentrate Exports

However, given the level of misinformation and inaccurate speculation, and the potential reputational and financial harm to the Company, to ouremployees and to Tanzania, we have decided to confirm Acacia’s position on a number of issues.


Ok, because you have decided to play politics and expose everything publicly, you better start by posting the copies of the dubious contract you signed with the corrupt government officials.
By the time you were stealing everything was confidential, now that things are going astray you are pestering public sympathy. Shut your mouths, we need our minerals back for the future of our children and the grandchildren.
 
  • Thanks
Reactions: R.B
Mbona tuko busy na michanga tu tujiulize na dhahabu yenyewe imetusaidia nini, pesa serikali

wote tu waliohusika kwa namna moja au nyingine hapa sio siasa ya vyama ni maslahi ya Taifa.
Kwani nimekuambia ni siasa ya vyama?
 
Kama kuna mwanaccm anashangaa kuhusu wizi wa madini ni "MPUMBAVU" uchafu wote huu ulipitishwa kwa kura za "NDIYOOO" pumbav zenu Leo mmoja wenu kaamua kuvua taulo la chama leo tunaona "UTUPU" wa CCM wa kuiingiza nchi kwenye hasara mnajidai kushangaa! WOOTE WALIOSAINI MIKATABA YA MANGUNGO WA MSOVERO sahihi na vyeo vyao vipo kwanini tusumbuane? OOH MUWE WAZALENDO KUTETEA MALI ZA NCHI! Swali; CHAMA CHA MAPINDUZI KITAJITENGAJE NA KUUZA MALI ZA TAIFA? Hivi ccm inatofauti yoyote na CHIFU MANGUNGO WA MSOVERO?
 
upload_2017-5-31_12-29-13.png
Imekuwa mambo ya chama tena?

Khaaa...wewe vipi chalii...kwani mikataba yote imesainiwa na serikali ya chama gani?

Kwani Bungeni walioukuwa wanapiga makofi ya ndiooo ni chama gani?

Kwani hawa walioendorse huo uuzaji wa mali za umma ni chama gani?
 
Salary Slip tatizo ni kuwa, mfumo ulipigwa ganzi wote, na enzi zile ingeundwa tume, basi majibu unajua yangechezewa na ndiyo kabisa nchi tungeendelea kuibiwa. Tunajua, si wana CCM tu bali hata wapinzani akina ZZK, Tundu Lisu walishakula hela za hawa wezi wawekezaji. Sasa tunatokaje hapa?

Uongo haujawahi kumwokoa mtu hata siku moja...
 
Kila aliyekuwa mbunge, mwanasheria mkuu, waziri, waziri mkuu ama rais kipindi cha awamu ya tatu na nne akamatwe, afilisiwe kisha atupwe ndani.

Kila aliyekuwa Mbunge! are you serious??? Tafuta kumbukumbu za Hansad ujue ni nani alishiriki kutipitisha sheria hiyo mbovu. Do not try to incriminate everyone for no reasons..
 
View attachment 517089

Khaaa...wewe vipi chalii...kwani mikataba yote imesainiwa na serikali ya chama gani?

Kwani Bungeni walioukuwa wanapiga makofi ya ndiooo ni chama gani?

Kwani hawa walioendorse huo uuzaji wa mali za umma ni chama gani?
Kumbe ndio maana Lowasa na Sumaye "walijisalimisha" Chadema?
 
Kila aliyekuwa Mbunge! are you serious??? Tafuta kumbukumbu za Hansad ujue ni nani alishiriki kutipitisha sheria hiyo mbovu. Do not try to incriminate everyone for no reasons..
Hahaha ! Sawa mkuu
 
Kumbe ndio maana Lowasa na Sumaye "walijisalimisha" Chadema?

Kwani CHADEMA wako juu ya sheria?

Unajua ninyi mi CCM ni mijinga sana...hapa tunaongelea wote waliohusika na kuiibia nchi hii chini ya usimamizi wa chama cha CCM wachukuliwe Hatua.

Be it Lowasa,Be it Sumaye,Be it Mkapa,Be it Kikwete....Hatutaki upuuzi wenu hapa mnaoufanya kila siku wa kulindani na mnaiangamiza nchi.

Na wabunge wenu washangiliaji tu wasioweza hata kufikiri wanapiga tu makofiiii...na NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
"ninyi" na "sisi". Upuuzi mtupu.

Opposition wamekuwa wazalendo sana kwa nchi hii...Misheria yote mibovu walisimama kidete kuipinga...Wazeee wa NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO...Mkapiga makofiiiiiiiiii
 
Opposition wamekuwa wazalendo sana kwa nchi hii...Misheria yote mibovu walisimama kidete kuipinga...Wazeee wa NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO...Mkapiga makofiiiiiiiiii
Ha ha ha, lofa. Opposition yenyewe ndio akina Lowasa na Sumaye?
 
Nilijua tu utaelekea huko....Na baba yenu mkapa aliyetuuza kwa wazungu...lodi lofa
Kubadilisha gia angani kumewapiga kabali. Mmebaki mnakoroma tu. Agenda zote za maana kwishnei.
 
Back
Top Bottom