ACACIA: Response to Allegations on Gold/ Copper Concentrate Exports

ACACIA: Response to Allegations on Gold/ Copper Concentrate Exports

Unajua hawa jamaa ni wezi

Kibaya zaidi Bunge la Tanzania lenye majority CCM waliunga mkono wizi wao...wakapiga makofi mengiii ya ndioooo

Masikini wa Mungu..kumbe mapoyoyo tu hata hawakuelewa wanachofanya

Mungu Tusaidie

Tatizo la nchi yetu ni hawa CCM ...wameshatugharimu BIG Time
Tatizo la hii nchi ni vyama vyote cha siasa sio CDM wala CCM,huwa wameungana kwenye maslahi hao tu ila kwenye maslahi ya Taifa kila mtu anapiga hela kivyake,kwenye hilo swala kuna kila harufu kuna wabunge wanavuta mpinga si wa CCM wala CDM wote wanapanga foleni huko kwa Rostam ili wapige kelele bungeni
 
Kila aliyekuwa mbunge, mwanasheria mkuu, waziri, waziri mkuu ama rais kipindi cha awamu ya tatu na nne akamatwe, afilisiwe kisha atupwe ndani.
 
Tatizo la hii nchi ni vyama vyote cha siasa sio CDM wala CCM,huwa wameungana kwenye maslahi hao tu ila kwenye maslahi ya Taifa kila mtu anapiga hela kivyake,kwenye hilo swala kuna kila harufu kuna wabunge wanavuta mpinga si wa CCM wala CDM wote wanapanga foleni huko kwa Rostam ili wapige kelele bungeni
Wana msubiria makonda.
Kwenye haya mambo hauwezi kumsikia mengi.
Maana ana vitalu vyake
Ila mpaka makonda akavamie clouds utamsikia.
 
Hello umelipwa shilingi ngapi ku-recycle hizi outdated stuff?
 
Jamaniiiii....!!!!!!!!!Someni hapo vizuri.....

Kumbe hizo Copper concentrates wanawauzia tena wateja wengine huko Oversees???

Sio tena wao ndio wanaohusika ku-smelt hizo copper concentrate under a specific contract?

naona hapa kutakuwa tena na mgogoro kati ya Management ya ACACIA na wanahisa wa Acacia!!
 
Sababu ya vilaza ccm
Source?
IMG-20170528-WA0006.jpg
 
Acacia sio wezi. Wezi tunao ndani mwetu wenyewe kina Muongo. Hawakujua muongo no kibaka mzoefu.unakumbuka issue ya mafuta ?
 
"To date, we have chosen not to publically respond, with our focus on seeking to agree a way forward with the Government. "
"
Acacia strongly denies the allegations made over the weekend during the inspection of containers at the Tanzanian Port Authority (TPA) that we are attempting to export gold/copper concentrates inspite of the announced restrictions. "

Hapo juu, kama ni maneno yao hao ACACIA, basi naona upande wao wameshika makali na JPM kashika mpini.
 
Bunge linahusika sana

Baraza la mawaziri linahusika zaidi

Marais Mkapa na Kikwete wanahusika zaidi

Chenge na Werema wanahusika sana

Tuwe wakweli..Tukianza kufumbiana macho hapa hatutaondoa chanzo cha tatizo

Hawa watu kwanza wawajibishwe..kwa sababu ni watanzania wenzetu...Then tuangalie namna ya ku Review hiyo mikataba
Kwa muktasari CCM wanahusika sana!
 
Salary Slip tatizo ni kuwa, mfumo ulipigwa ganzi wote, na enzi zile ingeundwa tume, basi majibu unajua yangechezewa na ndiyo kabisa nchi tungeendelea kuibiwa. Tunajua, si wana CCM tu bali hata wapinzani akina ZZK, Tundu Lisu walishakula hela za hawa wezi wawekezaji. Sasa tunatokaje hapa?
Sasa Lissu kuwatahadharisha kuwa mfuate sheria ameshakuwa mwizi?
 
Acacia sio wezi. Wezi tunao ndani mwetu wenyewe kina Muongo. Hawakujua muongo no kibaka mzoefu.unakumbuka issue ya mafuta ?
Huu wizi umeanza zamani zaidi kabla muhongo hajaanza siasa za tz!
 
Back
Top Bottom