Acacia Options to Pay U$300m

Acacia Options to Pay U$300m

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,934
Following the Agreement made between Barrick and the Government of Tanzania, Acacia Management in its yesterday briefing, clarified few items. Below is the summary:
  • The Agreement is in principle framework between Barrick and the government of Tanzania
  • A few elements of it will involve formation of a Tanzanian operating company
  • Economic benefits from this company will be shared 50/50 which includes the 16% government free carried shares
  • Acacia to make a payment of 300m dollars. Terms of the payments will be reviewed by the working groups
  • Those working groups will also review the conditions for the lifting of the concentrates export ban
  • It is frustrating for every one
  • Cash position continue to fall with net cash $24m
  • Total VAT receivable now stands at $175m
  • Acacia is a UK PLC company, will require presence in London
  • Barrick are aware of our balance sheets
Kwa maelezo ya Acacia, ni kuwa upo uwezekano wa kufikia maafikiano ya dola milioni 175 wanazoidai serikali kuwa sehemu ya malipo ya dola milion 300. Kama hilo likikubalika ina maana cash tutakayoisubiria itakuwa dola milioni 125.
 
Attachments

Kwa ukokotoaji huu bombadia yetu itaozea gereji!
 
Following the Agreement made between Barrick and the Government of Tanzania, Acacia Management in its yesterday briefing, clarified few items. Below is the summary:
  • The Agreement is in principle framework between Barrick and the government of Tanzania
  • A few elements of it will involve formation of a Tanzanian operating company
  • Economic benefits from this company will be shared 50/50 which includes the 16% government free carried shares
  • Acacia to make a payment of of 300m dollars. Terms of the payments will be reviewed by the working groups
  • Those working groups will also review the conditions for the lifting of the concentrates export ban
  • It is frustrating for every one
  • Cash position continue to fall with net cash $24m
  • Total VAT receivable now stands at $175m
  • Acacia is a UK PLC company, will require presence in London
  • Barrick are aware of our balance sheets
Kwa maelezo ya Acacia, ni kuwa upo uwezekano wa kufikia maafikiano ya dola milioni 175 wanazoidai serikali kuwa sehemu ya malipo ya dola milion 300. Kama hilo likikubalika ina maana cash tutakayoisubiria itakuwa dola milioni 125.

Kwenye VAT kumbuka bado wana billl kubwa TRA ambayo ndiyo hasa msingi wa kuunda technical team ili kuhakikia 10% za watu. Acacia hakula wenyewe.
 
Hivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.

Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
 
"...economic benefit, not profit..." hapa mnaweza kutudadavulia kidogo sie layman? Kwa muktadha wa haya makubaliana na kuzingatia mazingira ya Barrick, hii 50/50 inamaanisha nini hasa?
 
Following the Agreement made between Barrick and the Government of Tanzania, Acacia Management in its yesterday briefing, clarified few items. Below is the summary:
  • The Agreement is in principle framework between Barrick and the government of Tanzania
  • A few elements of it will involve formation of a Tanzanian operating company
  • Economic benefits from this company will be shared 50/50 which includes the 16% government free carried shares
  • Acacia to make a payment of of 300m dollars. Terms of the payments will be reviewed by the working groups
  • Those working groups will also review the conditions for the lifting of the concentrates export ban
  • It is frustrating for every one
  • Cash position continue to fall with net cash $24m
  • Total VAT receivable now stands at $175m
  • Acacia is a UK PLC company, will require presence in London
  • Barrick are aware of our balance sheets
Kwa maelezo ya Acacia, ni kuwa upo uwezekano wa kufikia maafikiano ya dola milioni 175 wanazoidai serikali kuwa sehemu ya malipo ya dola milion 300. Kama hilo likikubalika ina maana cash tutakayoisubiria itakuwa dola milioni 125.

Tundu Lisu nasikia kazidiwa tena!
 
Tundu Lisu nasikia kazidiwa tena!
Kama wewe ulivyozidiwa kuhara hapa! Mbona huwezi kuuficha ulimbukeni wako wewe? Unatia kinyaa na kuwachefua wengine humu! Au hiyo hoja kwako haieleweki? Nashindwa kupata tafsiri ya uzalendo mnayoimaanisha hapo lumumba! Mnafiki wa kisiasa wewe?!
 
TRA walisema tumeibiwa jumla ya $174billions, lakini makubaliano tumeambiwa tutapewa $300million ambayo ni 0.15% ya tunazodai. Hayo ni makubaliano gani ambao hao maprofesa ovyo wetu wameshindwa hata kupata 1%?
 
Following the Agreement made between Barrick and the Government of Tanzania, Acacia Management in its yesterday briefing, clarified few items. Below is the summary:
  • The Agreement is in principle framework between Barrick and the government of Tanzania
  • A few elements of it will involve formation of a Tanzanian operating company
  • Economic benefits from this company will be shared 50/50 which includes the 16% government free carried shares
  • Acacia to make a payment of of 300m dollars. Terms of the payments will be reviewed by the working groups
  • Those working groups will also review the conditions for the lifting of the concentrates export ban
  • It is frustrating for every one
  • Cash position continue to fall with net cash $24m
  • Total VAT receivable now stands at $175m
  • Acacia is a UK PLC company, will require presence in London
  • Barrick are aware of our balance sheets
Kwa maelezo ya Acacia, ni kuwa upo uwezekano wa kufikia maafikiano ya dola milioni 175 wanazoidai serikali kuwa sehemu ya malipo ya dola milion 300. Kama hilo likikubalika ina maana cash tutakayoisubiria itakuwa dola milioni 125.
Mkuu Bams kwanza asante sana kwa hii kitu especially the voice note ila naomba nikurekebishe kidogo, hiyo hesabu ya vat receivable has nothing to do na ile kishika uchumba chetu cha dola milioni 300, wamesama cash hiyo ya kulipa kwa mara moja ndio hawana, ila kidogo kidogo, watalipa.
  1. In principle, Acacia wamezikubali hoja zote za makubaliano ya serikali na Barrick.
  2. Itaundwa kampuni mpya ambayo serikali itakuwa na 16% shares na mgowanyo wa 50/50 ni kwenye economic benefits and not on profits.
  3. Watalipa hiyo dola milioni 300 ila sio upfront but in instalments kwa sababu hawana hiyo cash
  4. Lengo ya yote haya ni mchanga wa dhahabu uruhusiwe kuondoka.
My Take.
The borne of contention ni tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo kwenye ule mchanga. Kama kufuatia ahadi ya kishika uchumba hiki tutaruhusu mchanga uondoke tena bila kujua kilichomo, kiukweli Tanzania tutakuwa ni nchi ya ajabu sana!.

Kwenye press conference hiyo ya 30 minutes hakuna popote wamezungumzia kutujengea uwezo kuchenjua na kwenye makubaliano hayo hakuna lolote kuhusu uchenjuaji hivyo it's official mchanga utaondoka!. Swali la kujiuliza ni tuliuzuia mchanga ule ili kupata nini?. Nilidhani tuliuzuia ili kujua kilichomo!. Na hiki kishika uchumba ni cha nini?, sio kisika uchumba ili mwali wetu aondoke bila kulipiwa mahari?.

Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
 
"...economic benefit, not profit..." hapa mnaweza kutudadavulia kidogo sie layman? Kwa muktadha wa haya makubaliana na kuzingatia mazingira ya Barrick, hii 50/50 inamaanisha nini hasa?
Hapa tumepigwa changa kiaina...

In short, suala la 50/50 ni full utata...! Ama serikali au Barrick Gold, mmoja wapo amesema uongo! Ni ama Barrick Gold amewadanganya wanahisa wake au serikali imewadanganya Watanzania!! Sasa unaweza kupima mwenyewe ni nani hapo rahisi kudanganya watu wake kwa jambo kama hili!!!

Taarifa ya Prof Kabudi kuhusu 50/50 inasema ifuatavyo:
Na hiyo 50/50 itapatikana baada ya kampuni ya Barrick kuwa imelipa kodi zote za serikali. Mapato ya kodi ambayo serikali inayachukua kisheria hayahesabiwi kwenye mgao wa faida wa 50/50. Ile faida iliyosalia baada ya kampuni kulipa kodi zote ndicho kinachogawana na serikali 50/50.

Palamagamba Kabudi akaendelea kusema kwamba:
Kampuni ya Barrick inatumia mgawanyo wa faida wa 50/50 nchini Dominika, Saudi Arabia na Argentina. Lakini mgawanyo wa faida wa 50/50 wa nchi za Dominika, Saudi Arabia na Argentina unajumlisha pamoja na kodi ambazo serikali inazikusanya ila sisi kipengele hicho tulikikataa....
Kwa upande mwingine, kuhusu hiyo hiyo 50/50, Barick Gold hivi ndivyo wanavyosema:
Economic benefits from Bulyanhulu, Buzwagi, and North Mara would be distributed on a 50/50 basis between the new operating company and the Government of Tanzania. The Government’s share of economic benefits would be delivered in the form of royalties, taxes, and a 16 percent free carry interest in the Tanzanian operations.
Source hi hapa: Barrick Comments on Proposed Framework.

Sasa ukiangalia hapo kila mmoja anasema lake! Wakati serikali wanasema 50/50 itagawanywa baada ya serikali kuchukua kodi zake zote pamoja na mrabaha na ile 16% yake; Barrick wanasema 50 ya serikali inapatikana kwa kuchanganya kodi, mrabaha pamoja na ile 16%.... which means, kama mrabaha ni 6%, halafu tuseme kodi ni 28% na zile 16% zetu; ina maana itakuwa 6%+16%+28%=50%.... tumemaliza wakati hayo ni makato yaliyopo kisheria!

Na hapo kumbuka kodi ni zaidi ya 28%. Which means, endapo total taxes ni 40%, automatically kwenye hiyo fomula tutakuwa tunapoteza 12% ingawaje tunaambiwa tutakuwa tunagawana pasu kwa pasu!!!

Bora, wangewabananisha kufanya burden sharing!!!

Aidha, ikumbukwe kwamba, walichosema Barrick ndicho wanachofanya Dominica, Saudi Arabia na Argentina. Na kama ndicho watakachofanya Tanzania basi hamna jipya kutoka kwenye mazungumzo kuhusu 50/50.

Aidha, ukiangalia kauli ya pili ya Kabudi (kwenye BLUE) ambayo Kabudi anasema serikali imeikataa ndiyo taarifa iliyotolewa na Barrick Gold chini kabisa (BLUE).

So, to conclude, kama wanachosema Barrick Gold ni sahihi basi hakuna jipya manake hiyo 50% yetu yote itatokana na tozo ambazo tayari zipo kisheria na si kwa sababu Acacia tunawadai.
 
Kwa maelezo ya Acacia, ni kuwa upo uwezekano wa kufikia maafikiano ya dola milioni 175 wanazoidai serikali kuwa sehemu ya malipo ya dola milion 300. Kama hilo likikubalika ina maana cash tutakayoisubiria itakuwa dola milioni 125.

Sidhani kama hiyo ni uelewa sahihi wa ambacho kimesemwa hapo juu...
 
Hii nchi inaongozwa kwa maigizo hivi sasa kutoka noah kila Mtanzania hadi bei ya kinywaji

Maskini Tanzania wangu
 
Hilo la uwezo wa kujenga uwezo wa kuchenjua hatuwezi kujifanyia wenyewe?

Ni kwamba hatuna akili za kuweza kuujenga huo uwezo au?

Wao huo uwezo wao nani aliwajengea?
  1. Tulizuia mchanga kwa sababu hatujui kilichomo.
  2. Tukaunda tume ili kuchunguza
  3. Tukapata matokeo, tunaibiwa na tukaja hadi na figures
  4. Bosi wa Barrick alipokuja tuu mara ya kwanza, akaahiti watasaidia kujenga uwezo wa kuchenjua, tujue kilichomo.
  5. Katika mazungumzo, sijasikia uchenjuaji ukizungumzwa popote bali ni kishika uchumba cha dola milioni 300 za goodwill.
  6. Ndio maana nikashauri, kama smelter ni dola milioni 300 na sisi tumepewa dola milioni 300, then tununulie smelter tuchenjue kujua kilichomo. Priorities Zetu Nini?. Dola Milioni 300 Zinatosha Kununua Smelter ...
  7. Huko nyuma tuliwatuma wataalamu wetu kufanya utafiti na haya ndio yalikuwa majibu yao Wataalamu Hawa Wachunguzwe!,Jee Kuna ... - JamiiForums
  8. Hata hao Barrick hawana smelter ndio maana wanasafirisha mchanga.
My Take.
Huu mchanga ndio kila kitu, yaani jamaa wamekubali hadi kuhonga dola milioni 300 ili tuachie!.

P.
 
Hilo la uwezo wa kujenga uwezo wa kuchenjua hatuwezi kujifanyia wenyewe?

Ni kwamba hatuna akili za kuweza kuujenga huo uwezo au?

Wao huo uwezo wao nani aliwajengea?
From Day 01 Acacia walishasema kwao not economically viable kufanya uchenjuaji nchini! By the time, tulikuwa tunasafirisha wastani wa tani 50K za mchanga!!!

Kwa shehen kama hiyo, economical investment ilikuwa USD 500M !! Tulipoleta hii hoja hapa tukaambiwa vibaraka wa Acacia na kwamba tumelipwa kuja kuwatetea!

Tulipotoa changamoto ya ni kwanini basi serikali isiyo ya vibaraka isijenge hizo smelters; hakuna aliyewahi kutoa jibu la maana zaidi ya wale wanaoingia Google na ku-Google Copper Concentrates Smelters bila kufahamu not all copper concentrates smelters are the same!!!

Ukifanya Google ya bila kujua unatafuta nini hasa, ndani yake utakutana na smelters za hadi USD 25K na ndizo hizi ambazo watu wanaamini unaweza kuzitumia pale Buzwagi na Bulyanhulu wakati it's not!!!

Mkuu Pascal Mayalla, kuna thread yako ya majuzi bado sijapata muda wa kuitafakari lakini ulitaja kuhusu smelters moja somewhere in US! Unaweza kunipa link au enough info kuhusu hiyo smelter niangalie kama ndiyo hasa tunayohitaji?! Manake kama ni yenyewe basi itafaa sana kwa sababu mgodi mmoja wapo unaozalisha makinikia unafungwa soon na kwahiyo capacity itafaa!!!

However, it's not all about capacity but economic viability of a given smelter!!!
 
Back
Top Bottom