Acacia Options to Pay U$300m

Acacia Options to Pay U$300m

Ha ha haaaaaa
Unatamani uwe yeye
Jipige vibao vya usoni ulie kwa kujiongezea maumivu unayoyapata kwa kusaga meno.. na bado ulizoea ya dezo jifunze kusaka kivyako.. mvivj wewe usiye hata na fikra za kujiongeza bila kuiba.
Afadhali umejidhihirisha mwenyewe kwa shighuli za kujiongeza bila kuiba! Lakini unasahau jambo moja muhimu sana kuwa hicho huwa hakiuzwi kwani ulikipata bure kabisa. Na kama kweli wewe sio mwizi mbona mapato yatokanyo na hiyo biashara yako hupeleki kodi tra? Nitaupeleka mswada bungeni wa kudai hiyo biashara yako iongezwe kwenye vyanzo vya mapato kwani inakulipa sana. Bado unaendaga corner bar?
 
Hivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.

Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
Wewe huna nani akupe?
 
Afadhali umejidhihirisha mwenyewe kwa shighuli za kujiongeza bila kuiba! Lakini unasahau jambo moja muhimu sana kuwa hicho huwa hakiuzwi kwani ulikipata bure kabisa. Na kama kweli wewe sio mwizi mbona mapato yatokanyo na hiyo biashara yako hupeleki kodi tra? Nitaupeleka mswada bungeni wa kudai hiyo biashara yako iongezwe kwenye vyanzo vya mapato kwani inakulipa sana. Bado unaendaga corner bar?

Duh
Naona milembe kunakuhusu haswa haswa kwa kuandika kama unajua Cocochanel ni nani!!!

Ha ha haaaaa
Jipige vibao vya usoni ulie
Una wivu mkubwa juu yake eeeeeh
 
Haujui vipi kilichomo wakati Prof Mruma na team yake walifanya "Assay Analysis" ya concentrate kwenye containers. Kama hukuamini average ya 1400g/t gold ya Prof Mruma basi amini ya TMAA = ACACIA +plus ambayo ni 200g/t of gold.

My Take.
The borne of contention ni tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo kwenye ule mchanga.
Paskali
 
Haujui vipi kilichomo wakati Prof Mruma na team yake walifanya "Assay Analysis" ya concentrate kwenye containers. Kama hukuamini average ya 1400g/t gold ya Prof Mruma basi amini ya TMAA = ACACIA +plus ambayo ni 200g/t of gold.
Mkuu Martin Senzo, kuna tofauti ya kilichomo na kinachopatikana, kwa vile tumedai kuibiwa kinachopatikana, the only way conclusive ni kuchenjua kilichopo, halafu hesabu ya tuichoibiwa ikokotolewe kutoka kilichopatikana kwa sababu sio kilichopo ni extractable, makataba wetu wa mwanzo ni dhahabu, Shaba na fedha tuu, madini mengine yote was none of our business, hivyo japo ni kweli Acacia walikuwa wanatuibia, lakini katika kuwadai walichotuibia, tuwatendee haki kwanza kwa kujua kwa hakika, tulikuwa tunaibiwa nini na ni kiasi gani, hii hakika inaweza kupatikana kwa sisi kuchenjua kilichomo, hakuna njia nyingine ya kujua hili.

Paskali
 
Tooobaaa yaani tumeshushwa kutoka 450 trillion?
hiviiii... hili deni limeshasahauliwa baada ya kuahidiwa takrima ya $b300?? au $b700? ambayo hatuatipata hata robo yake?
ACACIA yadaiwa trilioni 425 na TRA kwakukwepa kodi tangu mwaka 2000
July 25, 2017 Tatu24
Kampuni ya Acacia imeeleza kuwa imepokea taarifa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayoonyesha kuwa migodi yake ya Bulyanhulu inadaiwa kodi ya kati ya mwaka 2000 hadi 2017 na Pangea inadaiwa kodi ya kati ya 2007-2017.

Taarifa hiyo ilichapishwa katika tovuti ya Acacia jana Julai 24, imeeleza kuwa taarifa hiyo imetokana na ripoti za kamati mbili za Rais zilizoonyesha kuwa wamekuwa hawatangazi kiasi halisi cha mapato yao wakisafirisha mchanga kwenda nje ya nchi.

Uchambuzi uliofanywa na TRA umeonyesha kuwa Mgodi wa Bulyanhulu unadaiwa na serikali takribani Tsh 344.8 trilioni (USD 154bn) na Mgodi wa Pangea takribani Tsh 76.1 trilioni (USD 36bn).

Uchambuzi huo unaonyesha kuwa Acacia wanadaiwa takribani Tsh 89.5 trilioni (USD 40bn), ikiwa ni malimbikizo ya kodi na Tsh 335.9 trilioni (USD 150bn) ikiwa ni adhabu na riba.

Aidha, Acacia wamepinga uchambuzi huo, na kusema kuwa wanaufanyia kazi ili waweze kutoa maamuzi sahihi.
 
Mkuu Martin Senzo, kuna tofauti ya kilichomo na kinachopatikana, kwa vile tumedai kuibiwa kinachopatikana, the only way conclusive ni kuchenjua kilichopo, halafu hesabu ya tuichoibiwa ikokotolewe kutoka kilichopatikana kwa sababu sio kilichopo ni extractable, makataba wetu wa mwanzo ni dhahabu, Shaba na fedha tuu, madini mengine yote was none of our business, hivyo japo ni kweli Acacia walikuwa wanatuibia, lakini katika kuwadai walichotuibia, tuwatendee haki kwanza kwa kujua kwa hakika, tulikuwa tunaibiwa nini na ni kiasi gani, hii hakika inaweza kupatikana kwa sisi kuchenjua kilichomo, hakuna njia nyingine ya kujua hili.

Paskali
mkuu Pascal Mayalla
HILI DENI LETU TUNALOWADAI TUNALIPATAJE? maana naona kama limipotezewa kimyakimya!!!

ACACIA yadaiwa trilioni 425 na TRA kwakukwepa kodi tangu mwaka 2000
July 25, 2017 Tatu24
Kampuni ya Acacia imeeleza kuwa imepokea taarifa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inayoonyesha kuwa migodi yake ya Bulyanhulu inadaiwa kodi ya kati ya mwaka 2000 hadi 2017 na Pangea inadaiwa kodi ya kati ya 2007-2017.

Taarifa hiyo ilichapishwa katika tovuti ya Acacia jana Julai 24, imeeleza kuwa taarifa hiyo imetokana na ripoti za kamati mbili za Rais zilizoonyesha kuwa wamekuwa hawatangazi kiasi halisi cha mapato yao wakisafirisha mchanga kwenda nje ya nchi.

Uchambuzi uliofanywa na TRA umeonyesha kuwa Mgodi wa Bulyanhulu unadaiwa na serikali takribani Tsh 344.8 trilioni (USD 154bn) na Mgodi wa Pangea takribani Tsh 76.1 trilioni (USD 36bn).

Uchambuzi huo unaonyesha kuwa Acacia wanadaiwa takribani Tsh 89.5 trilioni (USD 40bn), ikiwa ni malimbikizo ya kodi na Tsh 335.9 trilioni (USD 150bn) ikiwa ni adhabu na riba.

Aidha, Acacia wamepinga uchambuzi huo, na kusema kuwa wanaufanyia kazi ili waweze kutoa maamuzi sahihi.
 
Nakubaliana na wewe kuwa si chote kilichomo kinachopatikana lakini kumbuka kwanza kuwa kuna tofauti kubwa mno ya kiasi kilichomo kutoka kamati ya prof Mruma na kutoka Barrick/Acacia/SGS/TMAA. Kwanza inabidi kuwe na agreement kwa kilichomo regardless kama kipo kwenye mkataba au la ( This does not only include gold, silver and copper but also iron, sulphur,PGM etc). Hii ingeweza kufanywa kwa team inayojumuisha pande zote mbili (Tanzania na Acacia/Barrick). If the results would be in our favor we would be in a good position to claim refund as TRA did.

Lakini pia mimi nilikuwa nafikiria (sijui kama team yetu ya majadiliano haikufanya hii kitu) serikali ingekuwa imeitisha mikataba ya Acacia na Smelters. Hii ingeweza kuonyesha elements zote ambazo acacia inamuuzia smelter ambazo huenda zingekuwa tofauti na zile ambazo acacia inalipia serikalini (gold, copper and silver) na tungeweza kudai kihalali kabisa hizo trilions.

Kuhusu kuchenjua/smelting hapa nakubaliana na wewe kuwa tungeweza kujua kinachopatikana lakini ujuwe kuwa smelter installation is acapital intensive project as it has lot of accessory peripherals including O2 plant, converter, acid plant, anode palnt etc. Unaweza kuinstall hiyo smelter lakini pia lazima uwe na uhakika na availability of raw material (concentrate) before you break even. Kwahiyo ni ngumu kusema kuwa unaweza kuinstall smelter ili tu uangalie tu utakachopata kutoka kwenye hizo container. Kitu ambacho ningeshauri tu tafiti zifanyike kuestablish smelter capacity and economic viability given the current status of copper concentrate. Lakini pia hata kama copper concentrate itakosekana in future, smelter hiyohiyo inaweza kufanyiwa modification na kusmelt iron ore ili kuzalisha chuma.
Tuna iron ore ya kutosha kule Liganga na makaa ya mawe pia. Kama tunataka ku impliment slogan ya "Tanzania ya Viwanda" ni lazima tuzalishe chuma. Nchi nyingi duniani zenye viwanda zillindelea kwa sababu zilikuwa zinazalisha chuma zenyewe. Huwezi kuwa unaagiza kila heavy duty machine part kutoka nje na kikiharibika hauna spare parts inabidi usubiri tena. Na bahati mbaya almost all power transmission parts kwenye viwanda ni chuma. Kwahiyo pamoja na kuchenjua makinikia lakini pia lazima tuzalishe chuma kwa ajili ya viwanda vyetu.

Mayalla, genayo gatosha nkoi tukujiswa shiku jinge.

Mkuu Martin Senzo, kuna tofauti ya kilichomo na kinachopatikana, kwa vile tumedai kuibiwa kinachopatikana, the only way conclusive ni kuchenjua kilichopo, halafu hesabu ya tuichoibiwa ikokotolewe kutoka kilichopatikana kwa sababu sio kilichopo ni extractable, makataba wetu wa mwanzo ni dhahabu, Shaba na fedha tuu, madini mengine yote was none of our business, hivyo japo ni kweli Acacia walikuwa wanatuibia, lakini katika kuwadai walichotuibia, tuwatendee haki kwanza kwa kujua kwa hakika, tulikuwa tunaibiwa nini na ni kiasi gani, hii hakika inaweza kupatikana kwa sisi kuchenjua kilichomo, hakuna njia nyingine ya kujua hili.

Paskali
 
wamesama cash hiyo ya kulipa kwa mara moja ndio hawana, ila kidogo kidogo, watalipa.
  1. In principle, Acacia wamezikubali hoja zote za makubaliano ya serikali na Barrick.

  2. Watalipa hiyo dola milioni 300 ila sio upfront but in instalments kwa sababu hawana hiyo cash
Paskali

MUONGO MKUBWA!

Kwenye hiyo audio clip hakuna mahala ACACIA wamesema wamekubali hoja zote za makubaliano ya Barrick na Serikali.

USHINDWE NA ULEGEE

Na hakuna mahali ACACIA wamesema $300 Mil watalipa lakini kidogo kidogo.

UKOME NA UKEMEWE!

Hili jamaa Paskalli vipi hili?
 
Ukiwasikiliza hao wauliza maswali wengi ni mabenki na the only interest you can think of banks would have with any company ni kujua kama mikopo yao ipo salama na future cash flow ya kampuni ikoje; kutokana na aina ya maswali there is more inclination ni watu ambao wanajua mkataba wa awali ukoke na sasa wanataka kujua mabadiliko yana maana gani.

Upande wa Tanzania ni kitendawili hiyo mikataba inajulikana na watu wachache sana the terms are a mystery, a part from the known legal directives. On the other hand economic benefits could mean anything from company future investments based on income earned to share of income; term has wide interpretation unless the benefits have been clearly stated.

Mie nadhani serikari ipeleke mikataba bungeni sasa mule kuna wanasheria wazuri tu wanaweza walau idadavua hiyo mikataba binafsi naamini Tanzania doesnt deserve anything less zaidi ya kile serikari ilichotuambia wame negotiate.
 
Afadhali tunalipwa chochote, mana tusingepata kitu naona kina Mange na wafuasi wake wangeitisha party kubwa.
To me it is a proof kwamba ACACIA was playing foul
 
Nimelisoma tamko la Barrick, wamezungumza kuwa kutakuwa na FIFTY-FIFTY split ya economic benefits. Na Barrick hawakumung'unya maneno wakasema kuwa ile FIFTY yetu itatokana na royalties, kodi na asilimia 16 nyingine ( free carry interest).

Unaweza kulisoma tamko la Barrick hapa:
Barrick Gold Corporation - Barrick Comments on Proposed Framework for Acacia Mining plc Operations in Tanzania

Kwa hiyo ni dhahiri, tamko la Barrick liko wazi na linajieleza, hata hivyo, kwa mujibu wa uwekezaji katika madini as far as I know mpaka june mwaka huu , Kodi zifuatazo zilikuwa zikitozwa katika sector ya madini

1. Coprorate Income tax (Kwa kampuni ya madini hii ni kodi katika faida nzima inayopatikana katika madini) ambayo ni 30%
2. Huwa kuna Mirahaba (Royalties) kwa mujibu wa sheria ya zamani ilikuwa 4%, Lakini kwa sheria ya sasa itakuwa 6% kwa madini ya dhahabu.

Ukiachilia mbali na hizo:
(1) Bado kuna duties and levies
(2) Bado kuna free carried Interest ya asilimia 16%(Yaani hizi ni share za bure kwa serikali ambazo serikali hata bila ya kuchangia mtaji ni za kwake):

ukiangalia hizo percentage : Ukichukua 30% ya Income Tax + 16% ya Free carried Interest = 46%
(Hii ni baada ya sheria ya madini kufanyiwa marekebisho mwaka 2017, kwa kupandisha Free carried Interest mpaka 16% kutoka ile 10%).
Laiti tungetumia sheria ya zamani economic benefit yetu ingekuwa 30% Income tax +10% Free carried Interest =40%, yaani utaona kuwa imepanda kwa 6% tu baada ya sheria mpya

Halafu ukichukulia zile 6% za mrahaba Plus Duties and levies bila shaka kwa jinsi ninavyoona roughly itakwenda Kucover zile 4% iliyobaki ili kutengeneza 50% ambayo Barrick wao wanaita economic benefit. I see kwamba kabla ya dili hili na Barrick halali yetu ingekuwa roughly ni 40% +4% =44%

So as far as I see na kwa jinsi nilivyowaelewa maelezo ya Barrick ni kwamba, Deal jipya na Barrick limetuwezesha kupanda kutoka roughly 44% hadi 50%, Ongezeko la Takriban 6% tu!
 
I can subscribe to this it makes sense.
 
Back
Top Bottom