Utamlazimishaje mtu kununa?kwa hili kushangilia ni uendawazimu...
Imekuingia hiyo tayari mmeshapigwa za chembeHivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.
Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
Kosa ulifanya wewe kukosea shabahaTundu Lisu nasikia kazidiwa tena!
Labda kakushika wewe pabayaaisee wazungu wanahangaika balaa!
kila siku press release!
Hii ni dalili ya mfa maji.
magufuli amewashika pabaya sana!
Mkuu huyo ni kati ya watu wasiyo julikanaKama wewe ulivyozidiwa kuhara hapa! Mbona huwezi kuuficha ulimbukeni wako wewe? Unatia kinyaa na kuwachefua wengine humu! Au hiyo hoja kwako haieleweki? Nashindwa kupata tafsiri ya uzalendo mnayoimaanisha hapo lumumba! Mnafiki wa kisiasa wewe?!
Na leo wametunukiwa vyetiTRA walisema tumeibiwa jumla ya $174billions, lakini makubaliano tumeambiwa tutapewa $300million ambayo ni 0.15% ya tunazodai. Hayo ni makubaliano gani ambao hao maprofesa ovyo wetu wameshindwa hata kupata 1%?
Mimi kwetu ni misungwi maana ya Mayalla ni njaaMkuu Bams kwanza asante sana kwa hii kitu especially the voice note ila naomba nikurekebishe kidogo, hiyo hesabu ya vat receivable has nothing to do na ile kishika uchumba chetu cha dola milioni 300, wamesama cash hiyo ya kulipa kwa mara moja ndio hawana, ila kidogo kidogo, watalipa.
My Take.
- In principle, Acacia wamezikubali hoja zote za makubaliano ya serikali na Barrick.
- Itaundwa kampuni mpya ambayo serikali itakuwa na 16% shares na mgowanyo wa 50/50 ni kwenye economic benefits and not on profits.
- Watalipa hiyo dola milioni 300 ila sio upfront but in instalments kwa sababu hawana hiyo cash
- Lengo ya yote haya ni mchanga wa dhahabu uruhusiwe kuondoka.
The borne of contention ni tunaibiwa kwa sababu hatujui kilichomo kwenye ule mchanga. Kama kufuatia ahadi ya kishika uchumba hiki tutaruhusu mchanga uondoke tena bila kujua kilichomo, kiukweli Tanzania tutakuwa ni nchi ya ajabu sana!.
Kwenye press conference hiyo ya 30 minutes hakuna popote wamezungumzia kutujengea uwezo kuchenjua na kwenye makubaliano hayo hakuna lolote kuhusu uchenjuaji hivyo it's official mchanga utaondoka!. Swali la kujiuliza ni tuliuzuia mchanga ule ili kupata nini?. Nilidhani tuliuzuia ili kujua kilichomo!. Na hiki kishika uchumba ni cha nini?, sio kisika uchumba ili mwali wetu aondoke bila kulipiwa mahari?.
Mungu Ibariki Tanzania.
Paskali
CCM ndio hamna, usitujumuishe wengineHilo la uwezo wa kujenga uwezo wa kuchenjua hatuwezi kujifanyia wenyewe? Ni kwamba hatuna akili za kuweza kuujenga huo uwezo au?
Imekuingia hiyo tayari mmeshapigwa za chembe
Inakuuma nini?Hivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.
Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
post yako nimeipenda, kwasasa ukitaka upate watu wa kupiga nao kelele mchana kutwa anzisha debate juu Ya hili na story za hospitalin huko Nairobi, mengine hupati mtuHivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.
Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
Inakuboa vipi tena? Wewe si jeshi la mtu mmoja? Suppress the situationHainiumi bali
Mnaboa sana sana.
Makonda oyeeeee,amekarabati magari 24 Kati 56Hivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.
Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
Dalili za kukata tamaa ni wewe au mwingine uko mwishoni kusalimu amri si kusander huku..!Hivi hakuna habari zingine za watu kuongiza pesa mkawa mnazirusha humu kuliko haya ya kampuni hiyo kila sekunde.. maana mnaboa sasa.
Kuna mengi mnaweza kuelimishana na watu nchini wakaanza kupata pesa ndefu na kuongea kama hao mnawaongelea kama vile nyie bado watumwa wa hao watu...
Kwakweli tena kijoti kweliMh! Hapa kuna kuambulia kijoti cha azam au soda ya sayona!
Dalili za kukata tamaa ni wewe au mwingine uko mwishoni kusalimu amri si kusander huku..!
Mtu Akishindwa huwa anadai tuache yaishe..!
Labda kama kwenu kuna mchumba aje kuchumbia! Muwe mnajitathimini basi kwa kila hatua? Najua na nina uhakika kuwa hata akisimama na jiwe katika uchaguzi leo hii na saa hii uusomapo uzi huu jiwe litashinda kwa kura nyingi sana. Eti 2020! Nani amsukumize tena ambaye hajaishiwa miayo?Namsikiliza King wa Tanzania sasa hivi.. anamwaga nondo hadi raha.
Mmepigwa vibao najua hamna hamu na udaku wenu.. eeeeeh
Magufuli 2020
Labda kama kwenu kuna mchumba aje kuchumbia! Muwe mnajitathimini basi kwa kila hatua? Najua na nina uhakika kuwa hata akisimama na jiwe katika uchaguzi leo hii na saa hii uusomapo uzi huu jiwe litashinda kwa kura nyingi sana. Eti 2020! Nani amsukumize tena ambaye hajaishiwa miayo?