Abunuasi ndio nani?

Abunuasi ndio nani?

Battery low

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
315
Reaction score
27
Habari zenu wakuu,

Naomba kujuzwa kwa anayemjua huyo jamaa maana nimemsikia na kumtaja toka nilivyokua mtoto mpaka sasa, ila bado mpaka sasa hivi simjui ni nani!! :behindsofa:
 
Abunuasi ni au hadithi za abunuasi ni vitabu vilichapishwa kwa Kiswahili lakini story za Abunuasi zipo pia kwa kiingereza ..inadaiwa aliishi kweli zamani huko middle east alikuwa na vituko vyenye mafundisho tele,,ka ufupi tafuta vitabu vya abunuwasi
 
images
images.jpg
cover_mini
 
usinipaishe mkuu
Ni mtu mwenye akili kama za kwako
umemsikia huyu jamaa?
Abunuasi ni au hadithi za abunuasi ni vitabu vilichapishwa kwa Kiswahili lakini story za Abunuasi zipo pia kwa kiingereza ..inadaiwa aliishi kweli zamani huko middle east alikuwa na vituko vyenye mafundisho tele,,ka ufupi tafuta vitabu vya abunuwasi
 
Habari zenu wakuu,

Naomba kujuzwa kwa anayemjua huyo jamaa maana nimemsikia na kumtaja toka nilivyokua mtoto mpaka sasa, ila bado mpaka sasa hivi simjui ni nani!! :behindsofa:

Alikuwa mshairi hodari na mchekeshaji (comedian) mahiri enzi za utawala wa Harun Rashid, huko Iraq, karne kadhaa zilizopita! Pia alikuwa mmoja wa wapambe wa karibu sana wa mtawala huyo.
 
Ahsante sana kwa kunielewesha maana hata mimi nilikua sijui kitu kama hiko
 
Alikuwa mshairi hodari na mchekeshaji (comedian) mahiri enzi za utawala wa Harun Rashid, huko Iraq, karne kadhaa zilizopita! Pia alikuwa mmoja wa wapambe wa karibu sana wa mtawala huyo.
Kidoogo imeeleweka cyo Abunuasi kumbe ni Abuu Nawas
 
Back
Top Bottom