Huyu jamaa ni mbaguzi sana kwanini amechagua kwenda Arusha na Kilimanjaro badala ya Kigoma au pemba ?.Bwa ha ha ha ha .
Kigoma kufanya nini aisee!!!?????????????????????????????????? kwani hiv kuna hata uwanja wa ndege kule? hivi wewe ukihamishiwa kikazi kule utaenda???Huyu jamaa ni mbaguzi sana kwanini amechagua kwenda Arusha na Kilimanjaro badala ya Kigoma au pemba ?.Bwa ha ha ha ha .
Kigoma kufanya nini aisee!!!?????????????????????????????????? kwani hiv kuna hata uwanja wa ndege kule? hivi wewe ukihamishiwa kikazi kule utaenda???
Mkuu Nyani kwanini serekali haijengi uwanja wa ndege ili Abromovich aende Kigoma.Lawama zinatakiwa ziende serekali kwa uzembe wa maksudi.
Kile chuo kikuu cha Nelson Mandela kulikuwa na kampeni kubwa hapa jamvini kijengwe pemba au Kigoma badala ya Arusha.Nadhani baadhi ya wanajamvi mtaanza kuelewa ni kwanini chuo kinajengwa Arusha badala ya miji iliyolala kama Kigoma na Pemba.
Nyie mnahangaika nini??? labda wenyewe hawataki kwani serikalini hakuna viongozi wa juu kutoka pemba au kigoma???? je katika ile thread Zito kutoka kigoma alikuja akasema kuwa aliomba chuo kijengwe kula wakamkatalia na je kama walimkatalia walimpa sababu gani??? na hata kama watajenga nani wataenda kusoma kwenye hicho chuo?ok!! then dk.Sheini naye hawezi kushawishi chuo kijengwe visiwani? na kama hawezi ana faida gani sasa kwa watu wa visiwani??samahani najua hii mada haiendani na hi threadMkuu Nyani kwanini serekali haijengi uwanja wa ndege ili Abromovich aende Kigoma.Lawama zinatakiwa ziende serekali kwa uzembe wa maksudi.
Kile chuo kikuu cha Nelson Mandela kulikuwa na kampeni kubwa hapa jamvini kijengwe pemba au Kigoma badala ya Arusha.Nadhani baadhi ya wanajamvi mtaanza kuelewa ni kwanini chuo kinajengwa Arusha badala ya miji iliyolala kama Kigoma na Pemba.
Mmliki wa klabu ya soka ya Chalsea FC Roman Abromovich ametua mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kupanda mlima Kilimanjaro.
Bwana Abromovich alitua jana jioni saa 1 akiwa na watu sita na amefikia katikaHotel ya River Trees Country iliyoko eneo la USA River nje kidogo ya Mji wa Arusha .
Acheni mambo ya kigoma pemba,mpanda na maeneo mengine nahisi itafika wakati watu wataanza kusema kwanini hajafikia nyumbani kwangu?
ni kweli kabisa Mvina
Ila sasa ninachojiuliza kwanini serikali haitumii nafasi kama hii kuutangaza utalii wetu kupitia watu mashuhuri kama hawa au ndio mazezeta wapo wengi maana kusoma hawajui mpk kuangalia picha napo kunawashinda
Mtu kama huyu angetengenezewa mazingira mazuri huwezi amini hata Chelsea ungeshangaa wangekuja Tanzania lakini mijitu ipo ipo tuu ila nasubiria nione kama mijitu ya Wizara itakuwa imefanya initiatives zozote kwenye issue ya promotion kupita nafasi hii finyu ya ujio wa TAJIRI LA RUSSIA/ STANFORD BRIDGE
Acknowledge please! Did you write this piece or you just lifted it from somewhere, probably a newspaper? The chance is high that you lifted it from a daily newspaper, right? Do you know that you have committed a serious offense? Who told you life's that easy? Copying and pasting, uh!
I think you get it wrong. Uh, hold on! Chukulia wewe ni "mjitu" wa wizarani, ungefanya "initiative gani kwenye issue ya promotion kupita [kupitia] nafasi hii finyu ya ujio wa TAJIRI LA RUSSIA/STANFORD [STAMFORD] BRIDGE"? Ni nani atamlipa huyu tajiri kama atatumika kwenye "promotion" (if this is a right word to use) - kuitangaza Tanzania? Is he that cheap? Do you think he has time for that? Do you think he has that damn good reputation? Na kama kila tajiri akiitembelea nchi yetu atatumika kufanya "promotion" (whatever it means!), then what's the whole deal of them rich visiting our country?
Anyway, ningeomba kufahamu ni namna gani huyu jamaa (na wengine wengi wanaotembelea Tanzania without your knowledge) anaweza kutumika kufanya "promotion"? I don't get it!